mungu

  1. uhurumoja

    Hili janga lililopiga Valencia utaona sisi Mungu anatuepusha na mengi sana

    Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi. Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni...
  2. Eli Cohen

    Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  3. TozzyMay

    Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  4. KING MIDAS

    Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

    John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba. Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha. Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
  5. Loading failed

    Ni ipi dini ya kweli kama huku wanafungamana na huyu mungu wa wafu na mlinda makaburi

    Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu. Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili. a)Maana ya anubis. Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and...
  6. G

    Nahisi niliuziwa machungwa yaliyoivishwa kwa kekimikali zilizoanza kutumika Mbeya kuivisha matunda, Mungu atusaidie lakini Idara zetu zimelala mno

    N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii. Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
  7. B

    Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

    Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili. Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
  8. M

    Kusainiwa Mkataba ujenzi wa Barabara za DSM - MUNGU TUSAIDIE ISIWE NI SIASA ZA UCHAGUZI

    Serikali kupitia waziri wake wa Tamisemi Mh Mchengerwa imetutangazia kusainiwa kwa mikataba ya ujenzi wa Barabara za halmashauri za jiji la DSM. Maoni ya wananchi wengi wanaonyesha kutokuamini uhalisia wa jambo hili kwani inaonyesha ni kila mwaka kumekuwa kukitolewa ahadi nyingi ambazo zimekuwa...
  9. Zero Competition

    Ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu

    Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu. Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni...
  10. X_INTELLIGENCE

    Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

    Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na matokeo...! Kwenye maisha yangu niliwahi kutekwa na Imani ya dini Fulani ambayo kupitia mafundisho ya...
  11. R

    Katikati ya vitendo viovu, mauaji na utekaji, tuendelee kumsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, shalom!! Nitumie fursa hii kuwatia moyo ndugu zangu Watanzania wenzangu kuwa, haya tunayoyapitia ni ya Muda tu, kama ambavyo Kuna usiku mnene, Giza Totoro, tukumbuke kuwa Giza ni la muda tu, KUTAPAMBAZUKA na Nuru itaonekana tena, Kodi zetu ndizo zinatumika kuwalipa waovu Kuteka...
  12. Bob Manson

    Sumerian wisdom: Heshimu Miungu mingine ili waheshimu Mungu unayemwabudu

    Kauli hii inaonyesha wazo la kuheshimu imani za kidini za wengine ili kupata heshima kwa imani yako mwenyewe. Inasisitiza uvumilivu wa kidini na umuhimu wa kuonyesha heshima kwa miungu au dini nyingine kama njia ya kudumisha amani na kuelewana katika jamii. Hekima au busara hii ilisemwa na...
  13. Paspii0

    LGE2024 Kutopiga kura ni dhambi mbele za Mungu, dhambi ya kutotimiza wajibu!

    Kupiga kura ni njia muhimu ya kutimiza wajibu wa kijamii na kisiasa. Ni fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi yanayoathiri maisha ya watu na jamii kwa ujumla. Kutoshiriki inaweza kupelekea kukosa sauti katika mambo yanayohusiana na maisha yetu. katika mitazamo mingi ya kidini, mamlaka...
  14. Pdidy

    Anaanza Mungu rafiki anaefwata n huyu

    Hana ubaya Wala ubwela
  15. kwisha

    Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

    Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango...
  16. K

    TUMELETWA NA MUNGU

    Tumeletwa na Mwenyezi Mungu ili tukemee mauozo ya ubinafsi, uchocho, na roho za korosho; zinyooke, zitenende haki. Nilisikika katika ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikikemea mauozo. Nakumbuka tarehe 18/10/2021, Mheshimiwa Steave Masato Wasira, ex-waziri, ex-mbunge, na mwenyekiti wa Chuo cha...
  17. U

    Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
  18. Etugrul Bey

    Ukimdhihaki Mungu hadharani majibu unayapata siku si nyingi

    Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema...
  19. technically

    Tungeshinda angesifiwa Mama sio wachezaji? Ndo maana Mungu anatukataa

    Yaani nchi imekaa kimchongo Sana hii Tukishinda Nani Kama Mama Tukifungwa tatizo Samata Tukifungwa Mara mzinze sijui kafanyaje!! Sometime Bora tubondwe tu!!
  20. Mtoa Taarifa

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
Back
Top Bottom