Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui hata kwanini, lakini moyo ukalazimisha.
Sasa leo mchana, msichana kaja kununua mafuta kidogo...
Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu.
Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa.
Nilijua ana agenda ya chuki dhidi ya mama, sikujua saikolojia ya mwanamke inamfanya mwanaume anakuwa paranoid...
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono 😃😃🌹🌹
N jambo la kusikitisha sana sana
2017
Serikali ilikuja ikafanya uchambuzi wake wakitarajia kuchukua eneo la kipungun kwa utanuzi wa airport
Watu wakasimamishwa kuendelea kujenga
Wakasimamishwa kuendelea kupangisha
Hakuna kilichotokea wala watu kulipwa hela waondoke
2022
Serikali ile ile...
Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika.
Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia.
Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata.
Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
Kwamba mchungaji/Askofu akikemea uovu wa wanasiasa anakuwa amejiondoa kwenye orodha ya watumishi wa Mungu? Kumbe Askofu alifanya hivyo anafutwa kiroho na Mkuu wa mkoa?
Yohana Mbatizaji alimkemea Herode sababu ya mauaji ya mdogo wake ili kumpata mkewe. Matokeo yake akahukumiwa kifo cha kukatwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze.
Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye...
Leo Tarehe 20-09-2024
NDUGU Godbless Lema
Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania
Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu.
Sisi sote ni NDUGU hii ni...
Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34.
Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia.
Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri )
Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni
Alinifuata PM akanambia kama...
Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni
Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
Maisha ya binadamu awali yalikuwa ni ya mjumuiko(umoja) kitu ambacho kinampezesha Mungu sababu ndani ya maongezi ya watu wengi Mungu anakuwepo(yanazungumzwa mema tupu) lakini imekuwa tofauti na wakati huu kuna chemba nyingi za mawasiliano haramu zinaendelea, usiri wa kufanya njama ovu dhidi ya...
Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana.
Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo.
Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over,
Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
afrika
afrika mashariki
chama
katika
mashariki
mechi
mgombea
mgombea urais
mkuu
mpaka
mubashara
mungu
taifa
taifa stars
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ujao
urais
wake
Amazing GOD
Bwana Yesu asifiwe...
Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia.
Binafsi Kuna mengi MUNGU kanitendea ila siwezi kuyaeleza yote.
Baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.