Kabla ya kuzuka kwa teknolojia hizi mpya, wanadamu walikuwa wakipiga hatua kwa kasi. Sasa ni zamu ya teknolojia kuendelea kwa kasi pia. Kwa nini? Hii ni kwa sababu ni asili ya viumbe wenye akili kuendelea mbele: Kwanza katika akili zao, na matokeo yake, katika nyanja zote za kile wanachokiona...
Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu.
Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu.
Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu.
Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
Watu wanaiba kura kama akina Nape ambao walitangaza hadharani kabisa. Jamani mungu yupo na maisha haya ni mafupi sana. Andaeni maish ya uzima ambayo ni ya milele.
Kuna siku nimepta maona kuw Nyerere yuko mbinguni kwa sababu alitenda mema na kastahili. Sasa jamami tendeni mema
Nimeona tamaduni za Kiyahudi, Uislamu na ukristo chimbuko lake ni Asia.
Hivi ni kweli Mungu aliona muhimu kuwaleta mitume kwa bara hilo tu?
Majibu tafadhali.
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS.
The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret society.
It is located at KEMPTON PARK ( 45 MINUTES DRIVE TO DOWNTOWN JOHANESBURG)
They have a very...
Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu.
1: Kuongezeka upotoshaji katika dini
2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa.
3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
Habari zenu wapendwa
Kumekuwa na mahubiri mengi kwa sasa kuhusu utoaji huko makanisa ata yale makanisa yanaendeshwa kitaasisi lakini nayo mahubiri yao kwa sasa yamehamia zaidi utoaji wa sadaka. Swali Je ? kuna tatizo kuwa wingi wa mahubiri haya makanisani Jibu ni hapana!
Hakuna shida kanisa...
Why do some of God's major projects or plans misfire? Kwa kutumia akili yangu ya kawaida tu ya kibinadamu nimekuwa nikijiuliza hilo swali na hapa nitatoa mifano kadhaa:
1. Kwa mujibu wa maandiko ((kama ni kweli) wakati Mungu anamwumba Lucifer mpango wake ulikuwa kumwona Lucifer akiendelea...
Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
halafu Mungu anatoa sadaka ili apate nini?
Haya mambo kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwa sasa yamekuwa ni fasheni lakini katika ulimwengu wa roho dhambi hii ni mbaya sana sababu utapofanya dhambi hii katika ulimwengu wa roho utaonekana kama mtu mwenye alama ya muhuri kwenye paji la uso wako yani ata siku utapokufa na unasogea...
Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel.
Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni.
Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
Katika pita pita zangu, nimekutana na hoja ya pasta mmoja wa Kenya akisema kuwa kuna Mungu na pia kuna miungu, na miungu ni sisi wanadamu. Watu walicheka sana na kumuita mnafiki.
Kuna watu wengi wanashindwa kuelewa maana ya neno Mungu. Wanafikiri Mungu (Allah) ni jina la Yehova au Yahweh. Neno...
Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni.
Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana.
Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea.
Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
Tunapaswa Kumshukuru Mungu kwa Wema anaotundea wakati wote.
Nasema hivi kwa sababu kuna wakati unaweza kukutana na Jambo gumu sana.Lakini Mungu akafungua njia.
Mungu ni wa yale yaliyoshindikana kibinadamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.