Nadhani mungu ni mwanaume,
Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke,
Kama alimuumba mwanadamu kwa mfano wake,
Na aliyeumbwa ni Adamu,
Na Adamu ni mwanaume,
Hivyo...
Hello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na...
Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
Kwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.
Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa.
Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa
Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia.
Ninataka kufanya maamuzi ya mti wa kupanda mahali fulani, MDODOMA au MKUNGU!
Naomba kuwasilisha🙏
Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa?
Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi sasa karibu kwenye benchi.
Wewe umejaa dharau,mikogo na mipasho tu kazi huwezi. Ona sasa ulivyoaibika...
By Joh Makini ft Ben Pol
I love what I am doing. A city in da houz
Yeah… Aaah!
Some other people miss the old me
Some other people love the new me
I thank God all these people
They don’t know me yet
Class ni kitaa and they crown me yes
Hata we shetani kunielewa mimi ni bless
Mi sioni mganga wa...
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.
Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo
1 Wakorintho 1:25
[25]Kwa sababu upumbavu...
Wakuu habari,
Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?
Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?
Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ? Mwenye wake 100
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo
"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
Nina hoja ningependekeza kuileta mbele yenu wanajamvi..
Kama kichwa na habari kinavyojieleza "Mungu sio mwema"
Je ni kwanini ninasema haya.
Zingatia hili, katika mafundisho yote ya kiimani tunafundishwa kumchukia shetani na mabaya yake yote ili tumpokee kristu, ni kweli Jamaa ni muovu, wewe...
Gudmng
Tukamate hii kutoka kwa mwl Newton Gordian
“Ukweli ni kwamba mambo mengi tunayokwama na kushindwa kufanikiwa hayatokani na mapepo wala wachawi ila asilimia kubwa inatokana na kutokutii sauti ya Mungu na kutokufuata maagizo yake.
Kuna wakati wala wachawi hawahusiki wala mapepo ila ni...
Pastor Anafunguka...
Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni kwa kuzidiwa na pombe, au amejisaidia (amejinyea na kujikojolea) huku anaongea mwenyewe maneno...
Wadau hamjamboni nyote?
Nauliza nipate elimu
Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa?
Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.