Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi...
Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc
Wenye akili tu wataelewa
Wakuu nimekuja tu hapa kutia Moyo wapambanaji wote waliokata tamaa.
Leo kwa mara ya kwanza nimeamka kutoka kwenye nyumba niliyojenga mimi.
Ni miaka 10 ya jasho na damu hatimaye jana nimehamia.
Mungu ni mwema, tuendeleze mapambano; kwa wale mliofanikiwa zaidi Mungu azidi kuwapandisha, kwa wale...
ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI
𝗝𝗨𝗠𝗔𝗣𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟴 𝗦𝗘𝗣. 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗧𝗘𝗞𝗪𝗔.
Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza...
NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020
Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇
"…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda!
Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
Inakuwaje wanajamvi!
Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako.
Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu.
JESUS FIRST JESUS FOREVER
JESUS IS GOD
HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU
Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu.
Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,
na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana....
hongereni sana kwa hatua mliyofikia,
Mungu...
WATUMISHI WA MUNGU TUACHE UNAFIKI ACHENI SIFA ZAKIJINGA MTU AKIWA AMEKUFA
"usiku wa leo nimejikuta kwenye dimbwi kubwa sana la mawazo nikiwaza sana kuhusu maisha yetu ya hapa duniani nimefikilia sana kwamba ipo siku namimi Emmanuel Michael Mwasongwe nitakufa ni swala la mda tu ila...
Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo.
Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
Habarini!
Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa tangu nijiunge humu. Nawaomba muishiriki ipasavyo na kunipatia michango yenu🙏🙏
Kama kichwa Cha habari...
Mzee mwenzangu Mpaji Mungu umeuza kwenye Meme za Jamii Forums kule telegram channel ya Jamii forums. Nimeweka hii Meme tupate majibu.
Ms R jibu hilo swali🤣🤣🤣🤣
Nina box la zawadi yako hapa au tukupe mji?
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu
Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote
Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18)
Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
Shalom wanajf ,
Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?
LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa...
Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna...
Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.