mungu

  1. X

    US-Politics: Biden asema Mungu amemruhusu aendelee na mbio za kuwania tena kiti cha uraisi

    Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu; "Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe, ondoka kwenye mbio za uchaguzi ningetoka kwenye mbio hizi za uchaguzi. Lakini Bwana Mwenyezi...
  2. Vichekesho

    Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  3. King Jody

    Mungu wetu ni Mungu wa rehema

    Tuombe, Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe, Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote, -Utusamehe makosa...
  4. lee Vladimir cleef

    Masters voice prophecy: Mtumishi wa Mungu wa kike wa USA ameoneshwa na Mungu kuwa USA itapingwa na Urusi

    Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima. Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema...
  5. Leejay49

    Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

    Signed out forever
  6. T

    Bado Mungu anazungumza na Taifa la Tanzania kuelekea 2025

    Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena. Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025. Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa. Mtachaguwa 5 tena au...
  7. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Eti wakuu. Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili. Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile. Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na...
  8. U

    Kwa Wasabato, Bikira Maria ni Mama Mtakatifu, Aliyekula Chakula kutoka kwa Mwenyezi Mungu, aliyebarikiwa kuliko wote, aliyetuzalia mwokozi wetu!

    Wadau hamjamboni nyote? Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
  9. Kaka yake shetani

    Mfahamu mungu dagon na kofia wanazo vaa mapadri wakatoliki

    Dagon ni jina la mungu katika hadithi za kale za Wafilisti. Anatajwa mara kadhaa katika Biblia, hasa katika kitabu cha 1 Samueli. Dagon alikuwa mungu wa kilimo na uzazi katika utamaduni wa Wafoinike na Wafilisti, na sanamu zake zilionekana kama mchanganyiko wa binadamu na samaki. Katika Biblia...
  10. M

    Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

    Habari wadau. Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
  11. GENTAMYCINE

    Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  12. N

    Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

    Nilikuwa katika shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku, basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye lile begi na...
  13. GENTAMYCINE

    Watendaji wa Serikalini na Madereva wa Wakubwa huko Serikalini tafadhali acheni 'Kurogana' kwa 'Uchawi wa Ajali' mnakosea Mungu pakubwa sana

    Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
  14. GENTAMYCINE

    Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  15. Pascal Mayalla

    Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

    Wanabodi, Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja. Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia TBC, kutoka Msikiti wa Mfalme Mohammed VI wa Morroco, Bwakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam...
  16. N

    Mungu awasaidie wapanda daladala

    Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu...
  17. GENTAMYCINE

    Ukiwa pia ni Mkatoliki mwenzangu na Mcha Mungu mzuri nakukubali sana CDF Mstaafu. Jenerali Mabeyo na hapa umemaliza kila kitu hongera mno

    DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa sasa wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa ni wasomi wazuri akishauri wenyeviti wa bodi za...
  18. Tlaatlaah

    Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

    Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na huenda ukiulizwa kuyasema, kwasababu ya muda na ufinyu wa platforms, usimalize kuyaorodhesha...
  19. Kaka yake shetani

    Mungu ni maji

    Kauli kwamba "Mungu ni maji" ina maana tofauti kulingana na muktadha na imani ya mtu. Kwa kawaida, hii si kauli ya moja kwa moja kutoka kwa maandiko ya kidini, lakini inaweza kueleweka kwa njia mbalimbali za kiroho na kifalsafa. Katika dini na falsafa nyingi, maji hutumiwa kama mfano wa Mungu...
Back
Top Bottom