Tumeletwa na Mwenyezi Mungu ili tukemee mauozo ya ubinafsi, uchocho, na roho za korosho; zinyooke, zitenende haki.
Nilisikika katika ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikikemea mauozo. Nakumbuka tarehe 18/10/2021, Mheshimiwa Steave Masato Wasira, ex-waziri, ex-mbunge, na mwenyekiti wa Chuo cha...