Ni jioni sasa,nimesima hapa sebuleni kwangu,naangalia nje,mvua inanyesha.Naangalia miti na maua inavyopeperushwa na upepo, ni shwaaaaaaaaa, sauti ya majinya vua, na fyuuuuuuuuuuuuuuuu, sauti ya upepo,nani kwangu ni kimyaaaa kabisa,narudisha macho ndani,nakutana na vitu vya nyumbani, meza, viti...