muongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

    Kuna girl mmoja wa kizungu hapa, foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu. Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo. Natanguliza shukrani.
  2. Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  3. Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

    Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa. Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank. Kuna utaratibu uliowekwa?
  4. Hongera Rais Samia kwa Ph.D Nyingine ya Heshima, Akemee Kuitwa Dr? Kuna Haja TCU/MCT/Maelezo Kutoa Ufafanuzi/Muongozo kwa Media Kuita Watu Dr?

    Wanabodi, kama kawa, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni pongezi kwa Rais Samia kwa kutunukiwa Ph.D nyingine ya heshima, Je wajua mtu kutunukiwa Ph.D ya heshima, hakumfanyi mtunukiwa kuitwa Dr. as an official title? Ila ni rukhsa kuitwa Dr...
  5. Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara.

    Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa...
  6. RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
  7. Waziri Mhagama Apokea Muongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathimini katika Taasisi za Umma

    WAZIRI MHAGAMA APOKEA MWONGOZO WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI KATIKA TAASISI ZA UMMA. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, Amepokea Rasimu ya kwanza ya Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Shughuli za...
  8. SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania. Utangulizi. Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na kutoa mapendekezo kwa nia njema juu ya taifa letu, hususani katika sekta inayohusika na utoaji wa...
  9. A

    Muongozo wa kuwa programmer

    Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti), apps kama Facebook Insta TikTok hata hii JF, software maarufu kama Photoshop n.k. Hivi vitu vyote...
  10. Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

    Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme. Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji). Kwa anaye jua A to Z juu...
  11. Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

    Habarini? Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda...
  12. Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima, tunasubiri muongozo

    Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo. Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na Mbowe atasitisha hili. Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA. Safari hii mwenyekiti...
  13. Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

    Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa...
  14. Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  15. Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ... 1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili? 2. Biblia ni nini? 3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia. 4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa...
  16. Lead Generation 101: Muongozo Kwa Wafanyabiashara Wanao Promote Bidhaa Zao Kupitia Mitandao ya Kijamii

    Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
  17. Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  18. Mwongozo rahisi wa Kumtongoza Mwanamke unayekutana naye mara kwa mara

    Utapata urahisi zaidi ukiwa wa thamani katika jumuiya uliyopo. Jumuiya uliyopo inaweza kuwa ni kazini, shuleni, mtaani, kanisani au sehemu ambayo unakutana na mwanamke mara kwa mara. Hakikisha unajulikana na watu, ongea na watu wengi kadri uwezavyo. Hili litaongeza thamani yako kama...
  19. Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
  20. Unaishiwa Cha Kuongea Na Mazungumzo Yanakua Mafupi Ukiwa Na Mwanamke? Fuata Muongozo Huu...

    Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we mwenyewe unaona haufurahii mazungumzo. Hivi ndivyo unaweza na kuyabadilisha kuwa mazungumzo yenye raha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…