Nawasalimu katika jina la jamhuri,
Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw...