Kwa wale wa wapenzi wa aina hii ya muziki tukutane hapa.
Baadhi ya nyimbo ningependa usikilize pia;
1. Hollow Coves - coastline, these memories
2. Haevn - we are, the sea
3. Out of my hair - In the morning
4. Bon iver - Holocene
5. The sweeplings - be by our side, in between
6. Harbrs - a...
Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ?
Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo.
Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani.
Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country.
Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June...
Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu.
Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam.
Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora?
Ni mimi huyuhuyu...
Rejea kichwa cha Habari Husika.
Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka katika Radio Mbalimbali ambazo zilikuwa njema nitaje chache.
1. Sony
2. Sharp
3. JVC
4. Panasonic
Na...
Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote.
Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
Leo nimekumbuka nyimbo za kipindi kile za kutoka bara letu. Najua Belinda Jacob alileta oldies lakini uzi wake ukibase kwenye muziki wa mbele. Leo nakuletea mtaa wa magoma ya kiafrika yaliyo bang miaka hiyo.
J powers _Jabulane
Pat shange _sweet mama
Pat shange_ i surrender
Mafikizolo _Emlanjeni...
See the video at Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Lyrics & Music Video
"Hamadai" - Song Lyrics
eyyoooo
oh beby mwezi hauishi takuvisha pete
niaamiiini
vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe
niaamiiini
takutunza takupamba umeremete
niaamiini
me kwako sina ujanja ah mpechempeche
niaamiini
CHORUS...
Twins D’Lila and Jessie, Chance, Christian and Quincy were all in attendance. We love to see the Combs family together. For the 2022 Billboard Music Awards, Diddy brought out a few of his kids for the big event, including twins D’Lila and Jessie, daughter Chance and son Christian.
Christian...
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni...
Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
a. Lyrics
b. Instrument's
c. Beats
Mimi instrument + beat tamu lain hunifanya nioze mazima kwenye music
Mfano wa nyimbo zinazonimalizaga
Bryan adams - everything I do*
Harmonize - one question
Enrique - hero
Heart - alone
Ken G - forever in love
Maher zain - forgive me
Marco hendez - if ur...
Unapokuwa na maono ya kufanya shughuli yoyote inayohitaji ubunifu na manufaa makubwa, jaribu kuwaona waliowahi kufanya shughui Kama hiyo ili wakuelekeze inafanyikaje!
Nimestaajabishwa sana kuhusu TMA walichokifanya🥺! Maana ilikuwa Kama kongamano la kisiasa yani...
Stage mbaya
Lighting mbaya...
Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu.
Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize.
Wasanii ambao watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.