Uzi mfupi tu kuhusu soko la sanaa Tanzania. Wasanii wetu wa muziki ni muda wa kutoka usingizini sasa na kufanya kazi zinazoenda Duniani kama Wanaija.
Nimeandika huu uzi baada ya kuona kazi mpya ya Asake - WHY LOVE hii imefuatana na kazi mpya ya Diamond Platnumz - Moyo. Ukisikiliza hizo kazi...