WATU 11, saba wakiwa watoto, wamekufa kwa kusombwa na maji na wengine kuangukiwa na kuta za nyumba baada ya mvua kubwa kunyesha katika vijiji vya Pande na Konde vilivyopo mkoani Morogoro.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa , amesema majira ya saa saba usiku katika kijiji...