Nawasalimia wandugu,
Kuna hii social network inayojulikana kwa jina la twitter naona inapoteza mvuto kila leo,
Miaka ya nyuma mtandao huu ulitumiwa kikamilifu na watu wakamilifu wakiwamo wana siasa utakuta akitweet ni kama shule hivi, na tweet yake inaweza kopiwa na kuwekwa kwingine mfano fb...