mwalimu nyerere

  1. P

    Mzee Warioba na hoja fikirishi ya Mwalimu Nyerere kutohutubia Kanisani

    Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya hayati Mwalimu. Aliongea kwa lugha nzuri kama mwanasheria na mtu muungwana. Akamuelezea Mwalimu Nyerere...
  2. K

    Wafahamu wezi waliopongezwa na mwalimu Nyerere

    Ilianza kama utani Shirika moja la enzi hizo za utawala wa mwalimu Nyerere lilokuwa na ukwasi wa kutosha enzi hizo lilipokea taarifa kutoka kwa wezi kuwa siku ya tarehe_ _ mwezi wa _ _ wangefika kufanya wizi wa fedha kidogo hapo kwenye jengo la shirika hilo Basi viongozi wa shirika...
  3. B

    Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, kwanini usijiuzulu?

    Lango la kuingia nchini linapokosa mtu makini lawama na kudumaa Kwa huduma lazima kuwepo; Kwa kipindi kifupi toka kuzinduliwa Kwa terminal 3 madhaifu yafuatayo yapo wazi na Kila msafiri makini anayaona. 1. TV zinazoonyesha ratiba ya safari terminal 2 zimeondolewa, hivyo hakuna sehemu unapata...
  4. Mwande na Mndewa

    MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!?

    MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!? Nimemtaja makusudi mwanzilishi wa CCM,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kuvunjilia mbali hizi propoganda zinazotaka kuenezwa kwamba hutakiwi kukosoa chama iwe CCM,CHADEMA,CUF au ACT WAZALENDO. Na ukumbuke...
  5. nyboma

    Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere nini kinaendelea? Na kati ya awamu ya tano na sita ipi inasema ukweli?

    Bila shaka wakati Mh. Raisi Samiah Suluhu Hassan akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG na ulipofika wakati wa yeye kuzichambua ripoti zile nimemsikia kwa masikio yangu mawili ya kwamba “Mradi wa ufuaji umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere” utakamilika mnamo mwaka 2024 ama zaidi ya hapo. Nikirudi...
  6. U

    Pichani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Vatican 1963

    Rais was kwanza wa Tanzania Mwalimu Nyerere alitembelea Vatican 1963 na kuonana na Baba Mtakatifu.Papa Yohane VI Nimekuwekea picha
  7. B

    Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere: Tunaenda kuondoa tatizo la mgao wa umeme na kukatika mara kwa mara

    Na Bwanku M Bwanku. Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani. Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha...
  8. chiembe

    Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

    Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango). Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili...
  9. Sky Eclat

    Mwalimu Nyerere akipokelewa na Bi. Indira Ghandi nchini India

  10. T

    Hongera kwa Rais kwa kuwaziba mdomo wapinzani kuhusu kuungua kwa Soko la Karume

    Binafsi nimeshangazwa na ukimya wa wapinzani baada ya tukio la kuungua moto soko la Karume. Sijasikia pole yoyote kutoka kwa upinzani si CHADEMA wala ACT walioneshwa kusikitishwa na jambo hilo. Ni kimya kikuu kimetanda. Ni wapinzani hawa hawa ambao polisi wakidhibiti mikusanyiko yao haramu...
  11. munkango

    Kwanini Nyerere alifuta Tawala za Machifu

    Hivi karibuni Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Chifu Mkuu Hangaya. Pia leo akiwa Moshi anesema Serikali itashirikiana na Machifu na Viongozi wa jadi. Tawala za Machifu zilipata kuwepo hapo zamani kabla ya kuvunjwa mwaka 1962. Je ni sababu gani ilipelekea kuvunjwa kwa Tawala...
  12. W

    Nyerere, Magufuli na Polepole: Mashujaa pekee wa CCM katika enzi za siasa za vyama vingi

    Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!! Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM! Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani Watakushughulikia kungali kweupe! Hii...
  13. Pascal Mayalla

    Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

    Wanabodi, Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa...
  14. J

    Miaka 60 ya Uhuru: Sina uhakika ni nani mwingine alisimamiwa ubatizo wake na Mwalimu Nyerere zaidi ya Freeman Mbowe

    Nyota njema huonekana asubuhi. Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe. Sina uhakika ni nani mwingine hapa nchini ni mtoto wa Kiroho wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere zaidi ya huyu mahabusu Freeman Mbowe. Sisi Wajanja wa Mzizima tunamkubali Mwamba. Mungu ampe wepesi na kumtoa gerezani! Mungu...
  15. jingalao

    Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

    Nawasalimu wanaJF. Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi. Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika...
  16. S

    Maneno ya Mwalimu Nyerere: Watanzania uchumi mnaukalia

    Leo mtanzania analia lia na shida ya Umeme leo Mtanzania analialia na shida ya maji. Tuna ukanda wa bahari kwa zaidi ya kilomita 700 Tuna maziwa Makuu ya Afrika na tuna mito inayotiririsha maji tokea iumbwe Dunia Tuna gesi isiyomalizika Mtwara huko Kuna nchi hazina mvua hazina mito...
  17. Superbug

    Mwalimu Nyerere alipika Majasusi na yeye alijiimarisha kwenye fani

    Mnapoisifu idara ya Usalama ya leo mjue waliowarekruit wa leo wote walitengenezwa na Mwalimu. Kuanzia mzena et Al. Uzi upo humu. Kumbuka huwezi kuwa mwalimu mkuu bila wewe mwenyewe kubobea kwenye ualimu. Huwezi kuwa jenerali wa jeshi bila wewe mwenyewe kuwa jenerali (hata Kama hujaenda field)...
  18. Mystery

    Hotuba za Mwalimu Nyerere ziwe zinatangazwa wakati wote, siyo wakati wa kumbukumbu ya kifo chake pekee

    Imezoeleka kusikia hotuba za baba wa Taifa wakati wa kumbukumbu ya kifo chake, tarehe 14/10 ya kila mwaka na wala siyo vinginevyo. Kwa kweli unaposikia hotuba za Mwalimu, huwa hazichuji kabisa na wakati wote utapenda kuzisikiliza, kwa manufaa ya nchi yetu ya kipindi hiki na kijacho. Hotuba za...
  19. Mohamed Said

    Soko la Kariakoo: Moja ya Ngome za TANU 1955

    Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana. Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955. Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere kwenda UNO kuidai Tanganyika. Angalia hizi picha za soko lenyewe kama jengo kisha inamisha macho...
  20. K

    Mwalimu Nyerere alikuwa akijiaminia nini?

    Huyu baba alikuwa akiwatukana wazungu mara kwa mara na kuwaita majina ya ajabu ajabu Aliwavimbia wareno kule Angola mpaka wakasepa zao Ulaya Akawa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele kupambana na kaburu kule SA Akamvagaa mbabe Idd Amini na kumfurusha kutoka Uganda Akastaafu akarudi...
Back
Top Bottom