mwalimu nyerere

  1. B

    Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

    Waungwana kumhusu huyu mja wake mola yapo mengi. Kwa ufupi haya ni maelezo bora kabisa kumhusu yeye kama binadamu na kama kiongozi. Huyu hakuwa na ubinafsi. Hakuwa na ubaguzi. Huyu ni tofauti kabisa na wote tuliowahi kuwa nao. Nani kama huyu? Tuacheni kuwalazimisha watu kutapika nyongo...
  2. GENTAMYCINE

    Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

    Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu. Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya...
  3. H

    Mwalimu Nyerere na sifa zisizobishaniwa

    Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja. Na mara ya pili na ya tatu l, akiwa amestaafu. Nilipata kuvisoma vitabu vyake vichache, na wakati...
  4. maishapopote

    Alichokifanya Mwalimu Nyerere Mwaka 1995 mbele ya Macho yangu

    Nikiwa Darasa la Saba Mwaka 1995, kama kijana yoyote wa Moshi Mjini Nilikua na Hamasa Kubwa Kisiasa, Na Moshi Mjini Ilikua Imewaka Moto Kisiasa. Bwana Mrema Alikua Amejiunga na NCCR Mageuzi, Nayo NCCR ikaunganisha Nguvu Na CHADEMA Wakaweka mgombea Ubunge Bwana MTUI...na Urais Akawa Bwana...
  5. Jumbe Brown

    Manyerere Jackton: Kila ukikutana na Mwalimu Nyerere unahisi nguvu fulani ya ajabu

    Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu. Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo..... Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado...
  6. J

    Kutokana na utabiri wa TMA kuhusu uhaba wa mvua; je, bwawa la Mwalimu Nyerere litajaa na kuanza kuzalisha umeme mwakani?

    Nauliza tu kwa wataalamu wa Hydro power je tuendelee kutumaini umeme mpya kutoka Bwawa la Nyerere katikati ya mwaka ujao kama tulivyoahidiwa? TMA wametabiri mvua chache sana mwishoni mwa mwaka.
  7. Mohamed Said

    Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  8. K

    R.I.P Zacharia Hans Poppe: Historia fupi ya Jabari lilotaka Kumpindua Mwalimu Nyerere

    Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa. - Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni - Kabla ya kuachishwa kazi na...
  9. Mohamed Said

    Nyumba aliyoishi Baba wa Taifa baada ya kuacha kazi ya Ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  10. S

    Mwalimu Nyerere na vigezo vya uongozi kwa Mwanamke

    "Tunaweza kumpatia uongozi na madaraka mwanaume mlevi, lakini hatuwezi kumpa madaraka kama hayo mwanamke akiwa mlevi" Mwl. J.K Nyerere Mwalimu alimaanisha tunapotaka kutoa madaraka kwa wanawake lazima vigezo viwe tofauti na wanaume! Kwa wanawake vigezo vinakua vingi zaidi Lakini mimi sijaona...
  11. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia atoa mabilioni ya fedha sekta ya anga, elimu, mradi wa SGR na bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere

    RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na utekelezaji wa ufunguaji na ukuzaji wa uchumi wa Tanzania kwa kutekekeleza miradi ya kimkakati kwa kasi...
  12. comte

    James Mbowe, babu yako kushikana mikono na Mwalimu Nyerere ndiyo sababu ya kufanya mnayofanya?

    "Baba wa Taifa Julius Nyerere akisalimiana na Baba yake Mbowe Aikaeli Alfayo Mbowe Tuna Historia na Nchi hii nafikiri kipindi hiki kuna watu walikuwa wanachunga Mbuzi makwao" - James Mbowe
  13. Travelogue_tz

    Wakazi wa Kigamboni watalipia daraja la Mwalimu Nyerere mpaka lini?

    Kwa sababu za kijografia , Wilaya hii imekuwa na changamoto ya kufikika kwa urahisi na hivyo kwa miaka mingi wakazi wake wamekuwa wakitumia huduma ya kivuko cha ferry au kutumia njia ya Barabara ya Kongowe, njia ambazo zimekuwa na shida kwa wakazi. Ujenzi huu ulianza ramsi Februari 2012 chini...
  14. Hismastersvoice

    Tujikumbushe kesi dhidi ya Mwalimu Nyerere kabla ya Uhuru (wakati wa ukoloni).

    Mwishoni mwa miaka ya 50 Mwalimu Nyerere alishitakiwa na wakoloni na akafikishwa mahakamani, siku za kusikilizwa kesi watanganyika walijaa nje ya mahakama kushuhudia tukio hilo muhimu la kiongozi wao kusurubiwa na mkoloni. Enzi hizo jeshi la polisi lilikuwa chini ya malkia wa uingereza na...
  15. P

    Ukiondoa Mwalimu Nyerere aliyetupatia Uhuru, na ukiacha Benjamin Mkapa kwa kiasi, Tanzania inaongozwa na Viongozi wenye uwezo wastani sana

    Kama mada kwenye kichwa ilivyo, ukimuondoa MZEE NYERERE aliyetupatia uhuru na kisha baadaye kuwa na Mzee Mkapa katika awamu ya tatu, niseme wazi Tanzania imekuwa ikongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo na wastani sana. Katika Uongozi, Mzee Mkapa ndiye angalau aliimarisha mifumo ya Serikali na...
  16. Jumbe Brown

    Fozhou China, Mkutano mkuu wa 44 wa UNESCO July 16-31: Utetetezi wetu Watanzania juu ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere

    Ni UNESCO haohao walioanza kujiridhisha kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa mwalimu JKN kuwa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kamwe HALITOATHIRI mazingira ya viumbe na uoto wa asili katika pori tengefu la SELOUS!!! HAWAKUISHIA HAPO Miaka kadhaa baadae chini ya utawala wa kipenzi chetu...
  17. U

    The Mwalimu Nyerere Memorial College kina ubora gani wandugu?

    Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4. Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo Nyerere memorial. Kweli nimeperuzi nikaona anazo sifa za kupata cource pale na nimependa aanze na basic...
  18. chiembe

    Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  19. Suley2019

    #COVID19 Serikali imefanya maboresho vipomo Corona uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
  20. Mantombazane

    Baba wa Taifa angekuwepo angeyasema haya kuhusu Bunge

    Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni jasiri sana kuwanyooshea vidole viongozi wazembe na wasiojielewa huku akitumia maneno makali bila woga muda wowote wanapomkera au wanapofanya ndivyo sivyo. Alitumia maneno kama wahuni, wapumbavu, wajinga nk. Mfano angekuwepo leo angesema bunge letu...
Back
Top Bottom