BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES
Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel.
Siku moja jioni simu yangu ikalia.
Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
"Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo."
-- Issa...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema.
"Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia."
Nimeitafuta hiyo hotuba sijaipata. Je Nyerere alipoanzisha serikali za mitaa alipanga ziwe...
PROCEEDINGS OF THE INTERNATIONAL CONFERENCE ON
8-9 August 2002
Peace, Unity and People – Centred Development
The Legacy of Mwalimu Julius K Nyerere
OFFICIAL CLOSING ADDRESS
By
Ambassador Emmanuel Asajile Mwambulukutu
Tanzania High Commissioner to South Africa (1999 – 2008)
Chairperson...
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa
Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa.
Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata...
Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja.
Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili tupate pamoja na Kenya kadhalika alikuwa tayari kumwachia mzee...
Freedom and unity
Freedom and socialism
Freedom and development
Poverty is bad but poverty in thoughts is worse
Source: Personal development
How Mwalimu Nyerere was heavily influenced by John Stuart Mill , the guru of theory of Utilitarianism
The History of Utilitarianism
First published Fri...
PLUS TV BURIANI MAALIM: WAPI MAALIM KAFANANA NA MWALIMU?
Leo asubuhi Plus TV walinitembelea nyumbani kunihoji kuhusu vipi Maalim alivyojenga Demokrasia Tanzania.
Kipindi cha saa nzima.
Tunakaribia kuhitimisha kipindi Mtangazaji Jumanne Juma mithili ya chui aliyejificha kichakani akanivamia na...
Hakuna chembe ya shaka, Mwalimu Nyerere alikuwa zawadi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu alitupa sisi Watanzania na Afrika.
Tarehe 13 April mwaka 2022 Mwalimu atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake. Bado mwaka mmoja na miezi michache
Hii ni fursa nzuri sana ya kumuenzi Mwalimu, na kuitangaza nchi...
HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961.
Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11.
Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir...
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu wengine ambao bila wao mwalimu "asingetoboa" na pengine tusingemjua kabisa mwalimu Nyerere, au story yake...
..kwanza nimpe shukurani mwanachama mwenzetu Shwari kwa kutuletea makala hii.
..nimeona niilete makala hii ktk jukwaa la siasa ili iweze kusomwa na wanachama wengi zaidi.
In an interview with Nawal El Saadawy of Egypt's El Mussawar first published on 19 October 1984, Mwalimu Nyerere discusses...
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.
Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.
Simlaumu Tundu...
HII NDIYO SIRI YA KWA NINI MWALIMU NYERERE HAKUWA AKITHUBUTU KUVIACHA VIFIMBO VYAKE.
Unapofika katika nyumba yake iliyopo jijini Dar es Salaam maeneo ya Msasani maarufu kwa Mwalimu Nyerere, kinachoyatofautisha maisha ndani ya nyumba hiyo na zile za Magomeni na Ilala ni mazingira nadhifu.
Si...
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Wakuu Salaam:
Leo Oktoba 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani.
Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa.
Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati...
Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu.
Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za...
NINI TAFSIRI YA MEGAWATTS 2,115 ZA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE (Stiglers Gorge)?
Wengi tunaona na kusikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Megawatts 2115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi uliobuniwa na Mwalimu Nyerere toka mwaka 1975 na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.