Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua.
Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa...