Nimekuwa nikimfuatilia tangu akiwa bungeni, kub na katika siasa na matukio mbalimbali hapa nchni, nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa.
Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu...