Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu.
Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao.
Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine..
Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na...
1. Amechora tattoos. Red flag.
2. Ametoboa pua red flag.
3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4. Anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7. Ni muumuni wa twerking red flag.
8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9. Round...
Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰
Nyiee acheniii 🤗
Sitamani Jumanne ifike🤸
BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁
Play song for us Mr piano man😁🎵
KARIBUNI
♥️♥️♥️
Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya.
Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa.
Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe.
Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake.
Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao.
Hii inasababisha wanaume:
- Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata.
- Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
WAUNGWANA.
Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni mambo mawili yanayohusika katika hili.
1. Anataka kucheza na mawazo yako na hivyo kukulazimisha...
HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na mwenye heshima. Wengine huwafokea na kuwatukana na kuwatolea maneno makali kwa kudhani kufanya hivyo...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,,
Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo.
Tukaenda kula bata Billcanas.
Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani.
Mwamba...
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?"
Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo huufanya kama ufalme wake.
Bibi yake akamuambia kwenye maisha kuna maneno ya kuambiwa na kuna asili ya...
Asanteni sana Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ( TUKI ) kwa Toleo lenu la 3 la Kamusi yenu ya Kiswahili - Kiingereza kwa Kuyaandika bila Tafsida yoyote majina ya Sirini ya Wanawake na Wanaume kama ambavyo tukiwa Mitaani tunayatumia na hata tukizinguana huwa tunayatumia vile vile.
Sasa kama...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba
Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua sababu?
Unakuta mwanaume yupo ndani na mkewe,
Bulb imeungua usiku mwanaume anasema anampigia fundi...
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.