Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanaume kuoa mwanamke asiyempeda. (Na kwa taarifa yako zipo ndoa nyingi za namna hiyo).
Sababu hizo ni mwanaume:-
1. Kumkosa mke wa ndoto yake.
2. Kuachwa ama kufiwa na mke aliyempenda sana.
3. Kuachiwa watoto wadogo ghafla kwasabb ya talaka ama kifo...
Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee.
Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay, Klay yote ni majina yalikuwa yananishangaza kukuta amepewa mwanaume. Nikaja kukutana na Joyce ndiyo...
Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.
Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a...
Habari wadau
Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa
Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity.
Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira...
Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi.
Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Isipokua kwa wale second class men
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia...
Kila kitu ninachomuomba hana!!! Nitumie basi vocha sina,utamsikia akijibu unakufaham huku kulivyo maduka yako mbali, kila siku maduka yako mbali, na siku akishuka huko kwenye maduka ukimuuliza mbona leo umeshuka huko madukani ujanitumia?
Utasikia uwe unanikumbusha mimi siwezi kukumbuka kila...
Ni ukweli usiopingika mwanamke mzuri wa sura na umbile ni ndoto ya kila mwanaume,tena akiwa smart kichwani na elimu kwa mbali ndiyo kabisa.
1. Unajiamini kumtambulisha popote na kwa yeyote huku ukikenua meno yote na kujipiga kifua kwakuwa upo na mtu unayempenda kwa dhati na unaweza kuambatana...
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 maisha yalikuwa yakienda vizuri kwa dada aliyejulikana kama Ani Hindocha, mwenye asili ya India ambaye alizaliwa na kulelewa nchini Sweden.
Akiwa amemaliza shahada ya Engineering na alikuwa amepata kazi katika kampuni ya Erricson kama Mwandisi wa umeme katika kampuni...
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia...
Nadhani mungu ni mwanaume,
Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke,
Kama alimuumba mwanadamu kwa mfano wake,
Na aliyeumbwa ni Adamu,
Na Adamu ni mwanaume,
Hivyo...
Kumwaga mbegu kabla ya wakati (Prеmаturе ejaculation) ndio dalili kikuu ya upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. Ni hali ya mwanaume kushindwa kuchelewesha msimamo wa tendo la ndoa ili kufaidisha na upande wa pili kwa mwenza wake.
Nguvu za kiume hutofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine...
Vifuniko vya asali (chupi) kwa wanawake sio kwaajiri ya kujistiri tu sehemu zenu za siri bali pia zina mchango mkubwa sana katika kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume.
Kwa kulitambua hilo ndio maana watengenezaji wa nguo za ndani za kike wamekua na aina mbalimbali za chupi kama bikini...
Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani kiufupi ananuka ngono
Kila mwanamke anayekatiza mbele yake anatamani aloweshe dudu, yaani awe mmama...
Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora.
Sasa hv mwanamke hata umtoe...
Unakuta mtu ni mwanaume kabisa lakini ni muoga balaa..jirani yangu kaingia nyoka ndani kwake kagoma kuingia kaniiita,mke wake kajisikia aibu sana.
Unakuta mtu anaogopa kuangalia graphic videos eti anaogopa! Hivi utaweza kweli kutoa maiti ndani?
Wanaume tuubadilike.
Ushakutana na watu waoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.