Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana
Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana
Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael
Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda,
Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
habari wadau.
Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana.
Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa...
Mwanaume kamati hii...
Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi.
Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.
Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote...
Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana.
1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa.
2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ?
Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.
Lakini...
Ndugu zangu natumai mko salama kabisa.
Matumizi
a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono.
b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu.
c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
Mwanaume aliyemshtaki Sean "Diddy" Combs kwa kumnyanyasa kingono katika sherehe iliyofanyika karibu miaka 30 iliyopita ameshinda kesi ya madai ya dola milioni 100, kulingana na ripoti ya Detroit Metro Times.
Derrick Lee Cardello-Smith, mfungwa wa miaka 51 huko Michigan, alipewa amri ya muda ya...
Wavulana wengi wanafikiri eti.....
Ukitaka kumtawala mwanamke "mpe hela"...🤣
Hapo ndipo anguko la vijana linapo anzia "maana hata wanawake pia wanajua kuitafuta hela...😜
Mwanaume simama kwenye nafasi yako na hakuna nyumba itayumba bladi hell...☹️
Mwanaume kama wewe ni husband material tunza akiba tunza akiba!! yako dont restrain all your resource kwa ajili ya kusomesha watoto wako kwenye shule za ada ya juu au ufurahisha mke kwa kumpa 100k za saluni kila wiki au kumpeleka holidays kila wikend.
Jitahidi kua modorate katika bajeti zako...
Utakuta baadhi ya wanaume wanahangaika kutafuta tiba, kufanya mazoezi ili kuwa na maumbile makubwa. Na bado hawafikii lengo.
Sasa wewe kama una kibamia;
kwanza: mpende mkeo/mpenzi wako kwa dhati na hakikisha nayeye anakupenda. Kuwa muungwana tu haishushi uanaume wako .
Pili: jitahidi...
Hizi ni maada zimejadiliwa sana , ni kwamba narudia tu ili kuzidi kuweka mambo barazani ili kuwakumbusha wanaume wenzangu kuwa wanaume tumebeba majina na maana halisi ya maisha,hata katika visa kibao tunavyosoma ni kwamba mwanaume ndiye aliyebeba maana nzima ya kitu kinaitwa Dunia (ulimwengu)...
Wanawake hawana tatizo lolote, tatizo ni sisi wanaume tutawalaumu bure ila mwisho wa yote tatizo ni sisi. Mwanamke anaishi kama kioo atakuonesha tu ujinga wako ulivyo utake usitake kwa kujua au kutojua. Amekuja kukusaidia wewe (Msaidizi) Kwa maana nyingine Mwanaume ndiye mwenye kazi haswaa...
LEO TUONGEE NA WANAUME ✍️
Mijini hasa majiji haya makubwa kama Dar unaweza kutana na mwanaume akakuomba shilingi mia tu ya muhogo ila kila ukimwangalia unabaki na maswali mengi, sio vibaya kuomba ila nani anafanya hivyo? Na ukiangalia yuko tu kijiweni na hana ulemavu.
Mara kadhaa unaweza sikia...
Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe.
Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale akachangiwa sembe, mchele, sukari na vyakula vingine vingi akale na familia yake, akapewa na nauli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.