ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Naongea na wanaume tu Leo
Tabia ya kuomba ovyo haifai
Unajishushia brand
Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao
Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu
Sawa Kuna wenzako ulisomaga nao wamefanikiwa labda kupata kazi kubwa serikali au kibiashara, lakini haipendezi wewe ulipiga simu unaomba tu " oya fulani nisaidie pesa ya maji," hii haifai
Umekutana na mtu sehemu ya bata unataka mwanaume ule na ulewe na nauli ya bolt upewe, hii sio sawa
Onyesha uanaume, sema oya mazee Wacha hata nilipie kiasi fulani.
Usikubali kukutana na watu sehemu ya starehe kama huna hela, utajidhalilisha tu, yaani hata kama mtu akikuita bar hakikisha una hata 20k ya kukulinda sio unafika Kwa masela kama house girl
Kukaa bar kusifia wanaume wenzio mara ooh una Kitambi, una ngozi ya pesa, ooh kipindi tunasoma ...
Tabia ya kuomba ovyo, kuonyesha uhitaji inakushushia brand
Ndo maana tukija Dar hatuwapigii mnapiga mizinga mno masela
Kuwa masikini jeuri, kuwa mwanaume, jikaze