Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.

Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.

Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.

Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu awe mlevi tu.
 
Kwan pombe ndio hailetag magonjwa
 
Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.

Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.

Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.

Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu awe mlevi tu.
Lakini walevi wa monde wengi wamechoka sana kiafya wengine wamepoteza marinda kisa kuzima
 
Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.

Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.

Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.

Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu awe mlevi tu.
Acha pombe kenge wewe.
 
Exactly!! Bora kupiga beer kuliko kuonga hawa viumbe wasio na shukran na wadangaji wakubwa...
 
Back
Top Bottom