Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

Tuache ngono wazee, leo siku ya kufurahi na familia ila foleni ya dokta ndio sherehe....kataa ngono zembe
 

Attachments

  • 17672652590834303635442384381964.jpg
    17672652590834303635442384381964.jpg
    254 KB · Views: 17
Pombe ni tamu kuliko K? Wewe jamaa
Kuna jamaa alisema asli tamu kuliko k.

Basi bwana likawekwa dumu la asali kisha k nayo ikaletwa.

Jamaa akaanza na kula K huku mkono mmoja anachovya kwenye dumu la asali na kulamba.

kila akikatiwa viuno, anaingiza kidole kwenye dumu la asali analamba kisha anawaambia watu, acheni upuuzi nyie asali ni tamu.

Muda unavyoenda, akawa akiingiza kidole kwenye dumu badala ya kulamba akajikuta anapakaza usoni bila kujielewa lakini still anasema asali tamu.

Watu wakaanza kumuuliza, kama asali tamu mbona huilambi tena, kila ukichovya unajipaka usoni tu mdomo huuoni???
 
Kuna jamaa alisema asli tamu kuliko k.

Basi bwana likawekwa dumu la asali kisha k nayo ikaletwa.

Jamaa akaanza na kula K huku mkono mmoja anachovya kwenye dumu la asali na kulamba.

kila akikatiwa viuno, anaingiza kidole kwenye dumu la asali analamba kisha anawaambia watu, acheni upuuzi nyie asali ni tamu.

Muda unavyoenda, akawa akiingiza kidole kwenye dumu badala ya kulamba akajikuta anapakaza usoni bila kujielewa lakini still anasema asali tamu.

Watu wakaanza kumuuliza, kama asali tamu mbona huilambi tena, kila ukichovya unajipaka usoni tu hata mdomo huuoni.
Utamu wa ngono upo kichwani mwako bwashee , utamu wa pombe upo ndani ya chupa
 
Ngono ni kitu kidogo sana katika maisha mzee!!!

Sema changamoto yetu ni discipline ya kuweza kuiambia akili hapana.

Mwili umeumbwa kuhitaj lile tendo.
Ubongo wetu ukiweza kuucontrol unaweza kucontrol mwili.

Ila ni muhim mwanaume awe na mwanamke wake wa kumtimizia mahitaji hayo.

Na tuache umalaya. Maana ndio majanga mengi huanzia.
 
Inategemea , mtu na mtu Mimi nkilewa ndio Sinaga habari kabisa ,zaidi ya kuwaza kulala tu
Mimi hapa Kuna wanawake watatu wananiwinda dokta doktaa...Huwa naigopaga sana hizo mambo.

Nimetulia na wife mambo ya umalaya ni jauu

Min-me TUPIGE POMBEE MZEEE ☺️😁
 
Mimi hapa Kuna wanawake watatu wananiwinda dokta doktaa...Huwa naigopaga sana hizo mambo.

Nimetulia na wife mambo ya umalaya ni jauu

Min-me TUPIGE POMBEE MZEEE ☺️😁
Watu itakua wanafakamia pombe chafu ndio maana hawajui raha ya pombe bwashee 😅
 
Back
Top Bottom