Mzinzi aliyeshindikana na mlevi aliyeshindikana wa kwanza kufa kwa madhara ni mlevi. Kama unabisha tafuta waliokufa kwa uzinzi msimu wa sikukuu ni wangapi na waliokufa kwa ulevi ni wangapi.
Ukilewa unaweza lala na malaya ukapata madhara ya mzinzi vilevile, ila mzinzi hawezi pata madhara ya mlevi wa pombe.
Bado mlevi wa pombe zikijaa kichwani anaweza pata ajari akiendesha au akagongwa barabarani. Mzinzi anabaki na utimamu wa kiakili.
Ingawa wote wana some control. Mzinzi ana free will kwamba asilale na wake za watu, asitoke na under age atafungwa. Mlevi ana free will asilewe kusikojulikana, asinywe pombe feki, asilewe bila kula.