Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Mimi nikienda kunywa kama kiwanja hakina totoz nahama.
Mm kwangu ni tofaut.
Kinywaj kinashuka nikiwa na kampan. Ila kwenda bar na kukaa mwenyewe hainogi.
Labda kuwe na mpira na ukute wana wamebanana na mishe mingne.
Ila ni furaha sana kunywa kula na kulewa na marafiki.
Na Kama mwana akileta fame basi huyo fame aje na rafik ake na sisi tuwe marafiki 😁😁😁😁😁.
Ila siwez kwenda bar na kusalandia fame ambayo siijui.
Na wahudumu sigusi.