Mhadhara - 49:
✍️Wakati tukiwa tunapambana na "Ukatili wa kijinsia kwa Mwanamke", tusisahau kuwa wapo baadhi ya wanaume pia wanapitia Ukatili wa Kijinsia.
✍️Kwa kuwa dhana ya ukatili ni pana sana, hivyo hatuwezi kuacha kuamini kwamba hata baadhi ya wanaume ni wahanga wa Ukatili wa kijinsia...
Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake.
Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu...
Leo nakufungulia hii code. Thamani za mwanaume na mwanamke zinaangaliwa katika vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali/uwezo wa kifedha na thamani ya mwanamke ni mwili wake yaani ile purity.
Mwanamke anaingia kwenye soko la mahusiano around miaka 15 hivi akiwa na thamani kubwa, hiki ni...
Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema
Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe mwanaume endelea kukataa kuoa FAINALI NI UZEENI pia wanawadanganya vijana wa kiume kuwa mwanaume akizeeka...
WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.
Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,.
Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi.
Mi ndoa nilishakataa.
Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi?
Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu.
Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa...
Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda kijijini kuhudumia ujauzito, cha ajabu wanamsema kwa kutumia wakati uliopo. Nimejiongeza tu nikajua...
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO:
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na...
Wasalaam Wakuu,
Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo
1. Hakuna anayekujali.
2. Sio mkeo.
3. Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5. Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.
Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna...
Ukweli ni kwamba mwanaume hata ajitahidi vipi kukusamehe haitatokea kamwe, wanaume huwa wanadhani wanaweza lakini hawawezi.
Tutazungumzia hili kwa kutumia makundi matatu ya wanaume
KUNDI LA KWANZA
Hawa ni wanaume ambao tukijua tu wapenzi wetu wametusaliti huwa hatuna mjadala hata ulie, uombe...
Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku...
Intro:
Bila salamu.
Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
Wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya ndani anaweka bondi.
Mjamba wangu alioa mwanamke wa sampuli hii, mkewe akiwa hana pesa ya shughuli...
Ni uongo au kujitoa ufahamu kusema mwanaume hauna akili ya kujua kuwa huyu mwanamke ana red flags za kutosha kukupa mrejesho kuwa hautadumu nae na hatobadilika hata ufanye nini.
Mwezi wa kwanza tu wa kuishi na kuwa karibu na mwanamke tayari kwa mtoto wa kiume mwenye ubongo unaofanya kazi kiume...
Je mwanaume asema nini kuhusu utamu wa mwanamke,kwamba mwanamke mtamu ana sifa gani,na je mwanamke anasemaje kuhusu utamu wa mwanaume,kwamba mwanaume mtamu ana sifa hizi,naomba majibu
Sina haja ya salamu.
Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe...
Kabla mambo hayajawa mengi ni ufala kwa mwanaume kuanzisha mahusiano yoyote kwa gia ya pesa.
Kifupi ukianzisha hayo mahusiano jua umesaini mkataba wa kutumika. Na utatumika kama kondom vile. Yaani ponea yako labda upasuke.
Hata vitabu vitakatifu vinakuambia hapo mwanzo kulikua na neno. Ndio...
Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu
Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹
Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.