Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Wakuu nina hali ambayo hunitokea sana nyakati za usiku nikilala nikashituka hata kama ni saa 6 usiku basi uume (mashine) husimama mazima hata nilale tena na nikashituka tena nakuta hali iko hivyohivyo tena. kwahyo kulala kifudifudi inakuwa shida siwezi.na hata asubhi nikiamka inakuwa hivyo inalala hadi nitulie sanaa kbla ya kwenda job .je hii hali nitatizo au nione kawaida tu?