mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, tumetofautiana pakubwa sana

    Kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo akatumia gharaman ndogo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; Wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5 wkitumia gharama kubwa zaidi bila mafanikio wanapigwa kalenda. Unakuta mtu...
  2. Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

    Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke. Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume. Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake mnaowafanya adui ili kuibua utengano na uvunjifu wa maadili ndo mama za mwanaume, ndo Binti zetu, ndo...
  3. Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

    Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto. I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye kusudi, na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi. Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina...
  4. S

    Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  5. Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume 1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho 2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika 3...
  6. Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana! UPDATES: Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa...
  7. Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

    Wakuu. Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi. Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje mbele ya kadamnasi. Hapa ni baadhi ya mifano mitano (5): 1. Vipensi kuonesha Mapaja. Kuna watu...
  8. Kwani kuna ulazima wa mwanaume kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake?

    Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu...
  9. Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  10. Mtafutano wa mwanaume mwenye pesa, mwanamke mwenye hekima na jitihada

    KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume wanaowatafuta na moja ya kigezo ni awe na hela, mimi mtu ambae natafakari mambo nilijiuliza unaposema mtu...
  11. Ukiona mwanaume amekuwa shoga jua ni pepo mchafu yuko ndani yake. Hakuna cha homoni wala nini

    Hello! Amani ya Mungu iwe nanyi. Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku zinavyososonga anabadili mpaka sura ya huyo binti na kuwa kama mwanaume. Ukiwa na ndugu au mtoto wa hivyo...
  12. Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  13. F

    Hivi ni sawa mwanaume kumuomba mwanamke pesa?

    Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha Hii imekaaje wadau. Vijana wa kiume mmekuwaje?
  14. Mwanaume unnanzaje kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa

    Unakuta mwanaume kabisa tena mtu mzima unaweka status kibao eti kumbukizi ya siku ya kuzaliwa, 'Birthday Party' ni kwa ajili ya wanawake na watoto, mwanaume hupaswi hata kujua kama ulizaliwa. Nb. uzi tayari :DojaDance:
  15. Ni dalili zipi zaoneshwa kwa mwanaume kuwa tegemezi kwa familia?

    Ikiwa upo mbali na nduguzo, umekua mtu wa bize sana na kazi kiasi kwamba upati mda wa kuwatembelea kujua shida zao na changamoto. Ni vipi waweza tambua kuwa una umuhimu kwao kwa kuwasaidia changamoto zao?
  16. Mwanaume usiweke matumaini makubwa sana kwenye ndoa

    Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa. Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba kuna mambo fulani na fulani kwamba nita achieve katika ndoa. Ndoa sasa kwa ukweli halisi ni nyepesi...
  17. Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

    Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu...
  18. Sababu kuu mbili zinazoweza kumfanya mwanaume asimsaliti mkewe

    Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80% Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao. Ila ukimuona mwanaume ambaye hacheat kwa mke/ mpenzi wake jua zipo sababu mbili kuu ambazo zinamfanya asiwe na mchepuko. 1...
  19. Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

    Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na kuzisambaza mitandaoni, wajuba wameona paja la mwanamke wako, sasa wanampigia mahesabu mwanamke wako...
  20. Mambo ambayo mwanaume yanayoweza kukuletea majuto na mateso katika mahusiano/ndoa

    MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA Na Comrade Ally Maftah Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso au ndoa zinazovunjika na kutuacha na majuto. 1. KUANZISHA MAHUSIANA NA MWANAMKE ALIYEKUWA KWENYE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…