Taharuki imetawala maeneo ya Mbagala-Zakhem, baada ya Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatuliza wafanyakazi zaidi ya 1,000 wanaotengeneza barabara ya mwendokasi kugoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao.
Tukio hilo lilitokea leo, Septemba 6,2021 baada ya Polisi kupiga mabomu hayo mara mbili...