Usafiri wa mwendo wa haraka ni jambo jema kwa uchumi kwakuwa unapunguza muda wa kukaa njiani na kuongeza muda wa kufanya kazi kwa siku, wiki, mwezi na mwaka.
Pamoja na kazi na kasi hii ya kujenga usafiri wa haraka lakini lazima ujenzi huu uzingatie pia kujenga vituo vikubwa vya kuegesha magari...