mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  2. U

    Harmonize kusemwa imesaidia, amefanya diet mwili umepungua

    Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira, wion. Kwetu hasa ITV watangazaji ni wanene kupita kiasi. Tuje kwenye mada, Harmonize tembo wamemsema...
  3. Nyendo

    Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
  4. Gama

    Canada: Njia mpya za mazishi ambapo masalia ya mwili wa marehemu hufanywa kuwa mbolea

    Huko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo huwekwa masalia ya mwili baada ya kuchomwa. Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya...
  5. Samson Ernest

    Je, tunapaswa kuacha kusumbukia mambo ya mwili na kujizamisha na mambo ya kiroho peke yake?

    “Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?” Mt 6:25 SUV. Hebu tuliangalie hili jambo, je tunapaswa tu kuwa bize na mambo ya Mungu na kuacha mambo mengine yanayohusu kazi...
  6. Taifa Digital Forum

    Mwili wa Askari aliyeuawa Loliondo kwa mshale, waagwa na kusafirishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemtaka aliyehusika na mauaji ya Askari Polisi kwa kutumia mshale wakati wa uwekaji wa mpaka Loliondo Mkoani humo ajisalimishe. Amesema hayo leo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Garlus Mwita, ambao umepelekwa kwao Musoma Mkoani Mara.
  7. F

    Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

    Habari wanajamvi natumai mu na afya njema na wale ambao afya imelega kidogo poleni na ugua pole God atabless Ndugu zanguni nilipiga Ct scan,, naomba kuuliza hiko nimezungushia kwenye picha ni kitu gani wataalamu?
  8. Uhakika Bro

    Mbinu ya kutumia akili na utashi binafsi kuiendesha afya na mwili wako - A biological appeal to free-will

    Utashi ni kipawa cha binadamu kinachomfanya aweze kutaka mwenyewe chochote. Kitu hicho kinaweza kuwa chema na hata kibaya, ingawaakili yake mwenyewe inaona zaidi wema fulani uliomo na ambao unamvuta. [Wikipedia] Je unafahamu vitu kama afya njema, umbo la mwili wako na hata sura yako kwa kiasi...
  9. M

    Ataupiga mwingi 2025 na kuwapiga chenga ya mwili wapinzani wake ndani na nje ya chama!

    Ataupiga mwingi sana!! Atamkaribisha kwa hiari yake yule wa Zanzibar (mtoto wa mzee Mwinyi) aje agombee kwa tiketi ya CCM, halafu yeye ataenda kugombea Zanzibar!! Atapokelewa Zanzibar kama shujaa!! Anayowatendea ni mema kuliko maelezo! Anawaingizia mabilioni kama "mgao wao"!! Huku pia mtoto...
  10. sky soldier

    Ukristo: Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya moja, dhana ya mwili moja si kuwa na mke moja, hata ukilala na malaya ninyi tayari ni mwili moja

    Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu. Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha...
  11. Kasie

    Nimeuchoka Mwili wa Kibantu

    Kitambo kidogoo... Muda mchache majukumuu kibaooo Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa.... Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa... Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu... Mikonoo, uso, mapaja, miguu tuuumbooooooo, tutako nehiiii 😞😞😒 Diet sana, mazoezi sanaa ila baada ya mwaka with the...
  12. Lady Whistledown

    DAR: Amuua mtoto wa mdogo wake kwa kipigo, aufunga mwili kwenye ndoo kisha kuutupa Ubungo

    Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
  13. Idugunde

    Auawa na mwili wake kutupwa kwenye ofisi ya mtendaji Mbagala kuu.

    Katika hali isiyo ya kawaida jioni hii, kijana mmoja jinsia mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amefariki huku mwili ukiwa umetupwa katika ofisi ya mtendaji Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam na kuzua sintofahamu kwa wananchi wa eneo hilo. https://t.co/2UMsTJynNR
  14. BigTall

    Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  15. M

    Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

    Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake. Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina. Hapa unapata picha gani? Utapiga mzigo na kunasa? Binti ni mzee wa kazi?
  16. JOHNGERVAS

    Msaada: Mwili wangu umekuwa ukikonda sana

    Habari WAkuu bila shaka muko salama Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa nakonda sana hadi nguo zangu zilizokuwa zinanibana zimeanza kuwa kubw atena Kwangu. Nakula vizuri sina...
  17. John Haramba

    Mwanamke auawa Tabora, mwili wake watupwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Kamando Kata ya Igunga Mjini, Wilaya ya Igunga, Veronica Jackson Juma (26) ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi. Mwili huo umekutwa umefungwa kamba kwenye mikono na mdomo kuzibwa na kipande cha nguo. Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa...
  18. John Haramba

    (VIDEO) Songwe: Wanaochimba nguzo za umeme wakutana na masalia ya mwili wa mtu kwenye shimo

    Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo. Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo. Mmoja wa mashuhuda...
  19. T

    Nina tatizo la mwili kuchoma ninapo pata joto

    Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa...
  20. masopakyindi

    Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

    Mwili wa marehemu Dr. Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM. Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni. Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa...
Back
Top Bottom