Jeshi la Polisi wilayani Kiteto mkoani Manyara, limefukua mwili wa mtu mmoja ambaye hajafahamika ukiwa umeharibika vibaya huku ukiwa umezungushiwa mfuko aina ya salfeti na kufukiwa chini katika kijiji cha Mbigili, Kata ya Partimbo.
Tukio la kufukua mwili huo limefanyika hii leo Oktoba 12, 2022...
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za ndani ya mwili kama maini, figo, utumbo, nk.)
Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi.
Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa.
Leo hii nashangaa kawama inakuwa mara vyakula. Sasa kama vyakula vimeharibu mwili kwa nini usitumie miti shamba kurekebisha mwili?
Hivi inaingia Akilini Kweli Marehemu ameishi ndani ya hiyo hiyo Nyumba kwa Miaka 50 na Nature ya Milango ya Nyumba yake mnaijua halafu Amefariki mnauleta Mwili wake Nyumbani Kwake hapo na Kulazimisha uingie Ndani na Kuanza kuwa kama Panya Road na Kuvunja Mlango na hata kuharibu Miundombinu ya...
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Ligamba (45), mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Kata ya Butuguri wilayani Butiama mkoani Mara anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 19 ambaye ni mlemavu aliyepooza mwili mzima tangu kuzaliwa kwake.
Akisimulia kwa masikitiko tukio hilo la kubakwa...
Nimestaajabu sana nimekutana na hii hali ambayo nilikuwa naamini ni kwa ajili ya mijini. Tu aisee hii kitu kumbe mpk vijijini swekini ndani ipo watu wanauza na wapo watu wananunua kama kawaida.ila wanawake kwanini wanaaamini kuwa hili nacho bi chanzo cha mapato yao hii dhana kubadilisha inabidi...
LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Msomi, 😊.
Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea?
=======
Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike.
Kifo cha...
Mwanaume mmoja ameshtakiwa kwa kukwepa kupanga mstari wakati waombolezaji wakipita kwenye jeneza kuaga mwili wa Malkia Elizabeth II.
Mwanaume huyo ambaye anatoka Tower Hamlets mashariki mwa London, Muhammad Khan anadaiwa kupita nje ya foleni Ijumaa Septemba 16, 2022 na alikamatwa siku hiyo...
Ilikuwa ni mida ya saa 11 na robo hivi nikiwa nimetoka kazini nimeenda kiwanja flani kufanya mazoezi. nilifika nikaona kuna majabizano ya kelele kati ya watu wawili.. wa kwanza tumwite papai ni mrefu kiasi ila hana mwili wa mazoezi, wapili tumuite nazi huyu ni mfupi kuzidi X lakini ana mwili wa...
Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili urejeshwe Angola kwa maziko.
Dos Santos aliyeshika madaraka 1979-2017 alifariki Julai 8, 2022...
Mwili wa Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uhalifu, Juan Arjon Lopez aliyetoweka Agosti 9, umepatikana ukiwa na majeraha kichwani, Kaskazini-Magharibi mwa Mexico
Mwandishi huyo mwenye umri wa Miaka 62 alikua anaendesha Ukurasa Katika Mtandao wa #FaceBook akiangazia Habari na Matukio ya...
Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura.
Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari aliyeteuliwa na familia watafanya shughuli hiyo ili kubaini sababu za kifo cha Afisa huyo aliyetoweka kwa...
Habari wana JF, hivi ile support ya Uhuru kwa Raila ni siasa, chenga ya mwili kwa Raila?
Kulingana na historia na siasa za Kenya, Uhuru alikuwa tayari Raila kuwa Mjaluo wa kwanza kuingia Ikulu au chenga tu?
Ndoa za sasa ni changamoto kubwa sana nipo kitengo ,kesi ni nyingi kweli mapenzi kizunguzungu moyo wa kupenda umeisha kwa sababu zifuatazo
1.Umemtongoza mwanamke baada ya siku mbili atakuorodheshea shida zake zote uzitatue
2.Mwanamke unaachana na mume wako ukidai ni muhuni ana wanawake wengi...
Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida nyingi katika mwili wa binadamu, ambapo tafiti zinaonesha unaweza kusaidia mambo haya:
Tafiti kadha wa kadha zimefanyika na zimeainisha yafuatayo juu ya matumizi ya tangawizi:
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini...
Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka.
Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.