Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo.
Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua.
Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa
Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
1. Usingizi
2. Ndoto
3. Mateso
4. Ridhiki
5. Afya
6. Uhuru
• Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila gafla ukashutuka na ukajikuta uko na (Afya njema kabisa🙏) ukaamka na kwenda kutafuta Ridhiki, unapata...
Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu.
1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya Watu waliofariki huku wakiwa na matumaini ya kufufuliwa siku zijazo.
Gharama za kugandisha Kichwa...
Kuna mzee mmoja alisema haya hayata tokea tena sasa imekuaje tena.
===
Kwa mujibu wa Maelezo ya Polisi, mwanaume huyo alisombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kutoka upande mmoja wa mto kwenda upande wa pili. Ndugu wa Marehemu wameweza kuutambua mwili huo ambao kwa sasa ulikuwa umeanza...
Kulia ni mtoto wa marehemu, Ruben Kasala akiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kasokola wakionyesha kaburi la marehemu baada ya kuzikwa kwa mara ya pili. Picha na Mary Clemence.
Katavi. Katika hali isiyo ya kawaida kaburi la marehemu Ruben Kasala (73) mkazi wa kijiji cha Kasokola...
WAKAZI wa Kitongoji cha CCM-Senta, Kijiji cha Lwamugasa wilayani Geita mkoani hapa wamekutwa na sintofahamu baada ya kaburi la mtoto aliyezikwa kukutwa limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo, baba wa mtoto, Dismas John (35) alisema mwanawe wa...
1. Kunywa kitu kichungu au kikali
Vitu hivi ni kama ndimu, limao na hata pombe kali
2. Kufika kileleni, hii ni kwa wote lazma ukaze mwili kwelikweli, na njia rahisi ya kujua kama unamkojoza mkeo ni hisia hizi.
3. Kupiga mpira kichwa
Hakuna binadamu aliwahi kupiga mpira kichwa ukaona...
Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa.
Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10.
Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria.
Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere
Pia soma
- Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki
====
Nana Sechere...
Wakati bado tukio la kutekwa kwa Maliki Lukonge wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani, likiwa halijapata ufumbuzi, mwili wa mtu ambaye jina lake halijafahamika, umekutwa umetupwa kwenye msitu wa Pugu Kazimzumbwi wilayani Ilala, ukiwa na majeraha kwenye mikono na kutobolewa macho.
Lukonge alitekwa na...
Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari.
Mzee Swalehe alifariki katika...
Huwa unatumia dakika ngapi kupiga mswaki? Na unapiga mara ngapi kwa siku?
Unatumia dakika ngapi kuoga kila siku na una oga mara ngapi kwa siku?
Wabongo mtaongopa hapa
Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.
Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?
Au kazi yao ni ya laana hela...
Kufuatia sakata la picha liyopigwa ikionesha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinde wakiwa wamekaa wakisoma chini bila madawati na Serikali ikionekana kung'aka kwa kumuweka ndani anayesemekana kupiga picha hiyo ni sawa na mbuni kujifunika kichwa huku mwili ukiwa nje na akidhani kajificha. Soma...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.