mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Faida ya kula karoti kwa afya ya mwili wako

    Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi Faida ya kula karoti ni kama zifuatazo i...
  2. Uhakika Bro

    Swali la kujiuliza kwa yeyote mwenye kisukari na presha. Changes everything!

    Zamani wakati ni mapyamapya kisukari na presha yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri. Je hilo limebadilika au kutokana na ukwasi wa watu binafsi kuongezeka. Na utajiri umekuwa kitu cha kawaida ndio maana sasa hivi tunasema ni magonjwa ya watu wote hata wa kawaida. Tuliweke sawa hili jambo...
  3. BARD AI

    Ndugu wa Mtanzania aliyefariki vitani Ukraine walala matanga siku 10 wakisubiri mwili

    Ndugu wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamedai hadi sasa wametumia siku 10 kuusubiri mwili wa ndugu yao kwa kulala matanga. Taarifa zinaeleza kuwa kifo cha Nemes aliyekuwa...
  4. BARD AI

    Mwili uliokaa Mochwari siku 3 wasamehewa deni la Tsh. Milioni 3.7

    Baada ya mwili wa Evarist Kisomeko (49) kukaa hospitali kwa siku tatu ndugu wakidaiwa Sh3.7 milioni, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati Benjamin Mkapa imesamehe deni hilo. Evarist alifariki Januari, 13 hospitalini hapo akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya pikipiki eneo la...
  5. Faana

    Safari za ndege za masafa marefu zinaweza kuathiri vipi mwili wako?

    Qantas imetangaza kuwa itazindua safari za ndege za moja kwa moja kutoka pwani ya mashariki ya Australia hadi London, Uingereza kutoka mwisho wa 2025, na muda wa ndege wa zaidi ya saa 19. Kwa kulinganisha, ndege za sasa huchukua saa 24, lakini kwa kuunganisha ndege, imegawanywa katika safari...
  6. Analogia Malenga

    Simiyu: Mwili wa mtu waokotwa kwenye sandarusi

    Mwili wa kijana Ezekiel Boniphace Mangu (30) mkazi wa Kata ya Somanda Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, umekutwa umewekwa kwenye Sandarusi na kufunikwa na shuka kichakani. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kijana huyo aliyekuwa akifanya kazi ya ulinzi alipotea usiku wa Desemba...
  7. BARD AI

    Picha: Papa Francis akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa Papa Benedict XVI

  8. BARD AI

    Picha: Mwili wa Papa Benedict XVI umewekwa ndani ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Vatican

    Mwili wa Papa Mstaafu Benedict wa 16, na kichwa chake kikiwa juu ya mito ya rangi nyekundu, umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huku maelfu ya watu wakiwasilisha maombi ya kutoa heshima za mwisho kwa Papa huyo ambaye aliishangaza dunia kwa kustaafu. Kulipopambazuka, Walinzi 10 wa Papa...
  9. The Monk

    Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

    Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake. Sasa kama unamheshimu...
  10. BARD AI

    Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
  11. TODAYS

    Mwili wa Mtu waokotwa kwenye kiroba

    Kuna Mtanzania mmoja aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje mara akapewa jina la kachero mbobezi by now yupo chali kisiasa, aliwahi kuja na kauli ya uchawa akisema "... katika utawala huu hutosikia Mtu ametekwa wala kuokotwa kwenye kiroba" Huko Dodoma; mwili wa mtu uliokotwa ukiwa katika kiroba...
  12. C

    Kinachozeesha mwili ni akili

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari sana kwamba huenda kama binadam asingekuwa na shughuli nyingi sana zinazohitaji ubongo wake kufikiri kwa kina sana ili kupata majibu au matokeo ya kile anachokifanya, basi angedumu kwa muda/miaka mingi sana bila kuzeeka. Nina mifano michache hapa: Nina rafiki...
  13. M

    Kiteto: Wamuua bodaboda na kunyofoa viungo vya mwili

    Watatu wakazi wa Kiteto mkoani Manyara akiwemo mwalimu wa sekondari Lesoiti, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kiteto, kwa tuhuma za kumuua dereva bodaboda na kunyofoa baadhi ya viungo vyake kwa imani za kishirikina. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Novemba 28, 2022, baada ya...
  14. Nobunaga

    Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

    Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua. Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
  15. Gaddaf i06

    Umewahi pitisha hata siku tatu bila kutia maji katika mwili?

    Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata? Ulijisikiaje?
  16. Sildenafil Citrate

    Kaburi lafukuliwa Mbeya, mwili wanyofolewa viungo

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kunyofoa baadhi ya viungo vya mwili wa Neema Enock (24) uliozikwa kwenye kaburi hilo wilayani Rungwe. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 8, 2022 Kamanda wa Polis Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio...
  17. Ex Spy

    Bukoba: Mwili wa Raia wa Uingereza aliyefariki kwenye ajali ya Precision Air wasafirishwa

    Mwili wa raia pekee wa Uingereza aliyefariki ndani ya ndege ya Precison Air, unasafirishwa leo kwa gari kuelekea Mwanza. Baadaye usiku wa leo, mwili huo wa Jonathan Rose, utasafirishwa kwa ndege kuelekea Dar es Salaam ambako mipango ya kuupeleka London, Uingereza inaendelea. Nimepata taarifa...
  18. AbuuMaryam

    Kichwa kupata moto pekee yake ila mwili joto la kawaida

    Salaam wataalamu... Nahitaji msaada ndugu zangu, Mwanangu wa kike aliwahi kulazwa Mnyamala kwa Pneumonia na anaemia akiwa na miezi 5 takriban. Akatibiwa akapona ila hili TATIZO LA KICHWA KUWA CHA MOTO LIKIWA LIMEPUNGUA KIDOGO NA ALISAFIRI KWENYE BARIDI AKAPUNGUA KIASI SIO KUISHA KABISA...
  19. GENTAMYCINE

    Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
Back
Top Bottom