Kitambo kidogoo...
Muda mchache majukumuu kibaooo
Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa....
Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa...
Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu...
Mikonoo, uso, mapaja, miguu tuuumbooooooo, tutako nehiiii 😞😞😒
Diet sana, mazoezi sanaa ila baada ya mwaka with the...