mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suzy Elias

    Pre GE2025 Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
  2. Da'Vinci

    Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

    Aloha kakahiaka.... 👋👋 Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock (Dwayne Johnson), Roman Reign, Jimmy and Jey (the Usos), umaga nk zinafanana. Sababu inayofanya...
  3. Objective football

    Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

    Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu. Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu. Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki...
  4. P

    Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa. Sasa jana baada ya kuendelea...
  5. Webabu

    Nia ya kuwapiga Houth ilikuwepo kitambo. Ziara ya mwisho ya Blinken mashariki ya kati ilikuwa ni kuyakokota mataifa 4 vitani. Yote yalimkatalia

    Kibri cha Marekani na Uiengereza kuyaona mataifa mengine duniani hasa mashariki ya kati yanakaliwa na watu wajinga kinazidi kupata vikwazo katika awamu hizi. Juhudi za kuwashawishi viongozi wa mataifa hayo ya mashariki ya kati kuwapokea wapalestina wa Gaza zilikwama mapema sana.Juhudi hizo...
  6. Candela

    Naomba kujuzwa bei za viwanja Kinyerezi Mwisho

    Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka. Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya...
  7. BigTall

    Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

    Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi? Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara...
  8. A

    DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  9. 6 Pack

    Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  10. S

    Mpenzi wangu hajani-wish happy new year hadi muda huu! Kam-wish nani? Na mimi nimeuchuna tu nione mwisho wake

    Yaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mimi ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
  11. M

    Ninalia kwa sauti leo ni siku ya mwisho 2023

    Mzuka wanajamvi, Niacheni tu nilie. Siamini leo ndio siku ya mwisho 2023. Yani eti hatutauona tena. It can't be true 2023 has just gone like that. This really sucks just imagine January ilikuwa juzi eti leo ni 31st Dec. Hivi ni kweli huu mwaka unaisha? Ama ni mauzauza naona. But why why why...
  12. Poppy Hatonn

    Tunapofika mwisho wa mwaka, haya ni mambo ambayo tunapaswa kujihadhari nayo

    Tunapofika mwisho wa mwaka, inafaa tujadili mambo tunatakiwa kujihadhari nayo tunapokwenda mbele. Nasita sasa kulihusisha jina la Nyerere na mambo ninayotaka kuyaandika sasa. Lakini wote tunataka maendeleo ya kiroho kwa hiyo ni bora tuyajadili mambo ambayo yanaweza kutukwamisha. Ni mambo...
  13. THE SPIRIT THINKER

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    HII NI SIMLIZI YA KISAYANSI NA KITEKNOLOJIA. MTUNZI NI YULEYULE TARIQ HAJJ. HAYA NI MAONO YA MAISHA YAJAYO. RIWAYA NYINGINE ZILIZO TANGULIZIA NI 1. CODE X 2.CODE. X 2 MCHEZO WA KIFO. 3.COD X 3 ASKARI WA KUTENGENEZWA. 4.CODE X 4 HII MTUNZI NI FRENK MASAI. NA NYINGINEZO ZA KISAYANSI NA...
  14. Nsanzagee

    Pendekezo: Serikali iwe inawaongeza watumishi wake Tsh 100,000/ kila mwisho wa mwaka

    Wanajamvi na watanzania kwa ujumla, hasa wafanya kazi wa serikali! Ninachokiañdika hapa, bila shaka ni hitaji la kila mfanyakazi, Mimi nikiwa kama mkulima wa hapa nanjilinji, nimechoshwa na kukopwakopwa na wafanyakazi wa umma hasa mwishoni mwa mwaka Mpaka naandika hivi, nimeanza kuwaonea...
  15. chiembe

    Mkoa wa Kilimanjaro pekee ndio wanarudi kwao mwisho wa mwaka,mikoa mingine wanaogopa kurogwa

    Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi. Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
  16. B

    Mahojiano na Rais mwisho wa mwaka 2023

    RAIS KWA MASAA MAWILI ANATETEA SERA ZAKE KAMA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI Katika mahojiano mubashara, rais ameamua kuongea na waandishi wa habari wa vyombo tajwa ili kuelezea mikakati anayokusudia kukamilisha bila kutegemea msemaji wa serikali kufafafanua bali kuonesha yeye kama rais anaongea...
  17. M

    Tuwe Makini mwisho wa mwaka - madukani Vyakula na vinywaji wanauza vilivyokwaisha Muda (Expired)

    Nimekutana na juisi za Zambia zinazouzwa Tanzania hususani Mbeya na Songwe wanauza zilizoexpire. Pia biscuits hasa za nje chocolate zimeisha Muda lakini zinauzwa tu! Wenye mamlaka sijui wako wako wapi Watanzania tunalishwa sumu
  18. BigTall

    Hawa watu Mbezi Mwisho wanatumia kivuli cha Bahati Nasibu kuwaibia watu

    Ndugu zangu katika pitapita zangu nimefanikiwa kufika mitaa ya Mbezi Luis karibu na ilipo Stendi ya Mabasi ya Magufuli, nadhani ile ni Kata ya Mbezi, kuna mambo kadhaa yanaendelea yanayohusu utapeli kama ilivyo kawaida kunapokuwa na purukushani za watu Jijini Dar. Karibu na Daraja la kuelekea...
  19. M

    Madeama ni kama timu ya Mashujaa ya Kigoma: Hamasa kubwa, kujituma kwingi, mwisho wa siku kubaki karibu mkiani

    Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale zaidi ya jihad!! Sitarajii mtu ajisifu kufunga kitimu hicho ambacho hata kwenye 30 bora ya Afrika...
  20. Jidu La Mabambasi

    Chalamila amefikia mwisho wa kufikiri: Eti Watanzania wahame Dar es Salaam yenye matatizo

    Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri. Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi. Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona...
Back
Top Bottom