Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo...
Habari wanajamvi?
Tukiwa tumebakiza siku takribani 15 kupindua mwaka, kuongeza thamani ya upendo miongoni mwa member JF.
Taja memba yoyote unayempenda mpe na sifa yake na cheo
Mimi naanza hapa👇
DR Mambo Jambo
Huyu mkuu namuheshimu sana kwa mabandiko yake ya DINI, ananifundisha vitu vingi sana...
Utangulizi
Msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huwa na heka heka nyingi na watu hupendelea kufurahia kula na kusherekea walichopanda Kwa mwaka mzima. Hata hivyo Kwa kua ni msimu wenye matukio sio kidogo Kwa sababu ya asili ya shunguli nyingi ni vyema kuzingatia mambo kadhaa.
Mambo ya jumla na...
Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji!
Hii haina afya kabisa!
Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa!
Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.
Ninajivunia kutoa;
Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako.
Muda ufaao, Ninazingatia muda wako mteja, yaani nakuletea
huduma ya usafi bila usumbufu.
Fanya sikukuu zako ziwe zenye furaha...
Happy Sunday wana JF.
2 Timotheo 3:1-7 SUV
[1] Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.
[2] Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani...
Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka,
Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo
1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji.
2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
Salaam Wazazi/Walezi
Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
Eneo lolote likianza kuwa na maendeleo masikini hatakiwi kuonekana! Sheria hutungwa na vigezo huwekwa kumlazimisha masikini akimbie!
Mfano jinsi miji inavyokuwa kuna nyumba zinawekewa sheria ya kwamba ukitaka kuikarabati lazima uombe kibali na watakuambia mtaa huu kama unatakakujenga, jenga...
Tangu mwezi wa nne hadi sasa nimetumia laki nane (800,000+). Wastani wa laki moja kila mwezi. Kwa anasa inayohusu wanawake, kuanzia sasa naachana na haya mambo kabisa.
N.B kama unaona hela hii ni ndogo kwako kwangu ni kubwa sana.
Habari!
Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu.
Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha.
Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi?
Setikali imeshindwa...
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.
Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Hadi kufikia Mwezi April mwaka 2024 Watanzania hawatakuwa na tatizo la mgao wa umeme kufuatia kukamilika kwa vituo vya kuzalisha umeme sambamba na kuanza kwa uzalishaji wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere.
Kauli hiyo imetolewa na David Mathayo mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati...
Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi.
Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba...
Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote.
Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu.
Hapa...
Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF.
Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano...
Kuulizwa maswali.
Yesu alikuwa haogopi kuulizwa maswali. Hata kama ni ya kijinga atatafuta namna ya kukujibu ili uache huo ujinga.
Watu wengi wanaelewa kwa njia ya maswali. Nimeona wengi wanapenda kuongea mambo yao ila hawana ujasiri wa kuwaacha wanaowasikiliza wahoji na kuuliza maswali ili...
Habari!
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande.
Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha na mvua zinazoendelea! Barabara zimekatika na kutenganishwa na maji, tunalipia kubebwa migongoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.