Pengine huu ni uzi wa mwisho kuandikwa na mimi kukuhusu wewe kipenzi changu Marry

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia.

Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa.

Niseme tu sifurahii kukuweka kwenye hii jela ya kifikira, kuwa huru. kwa sasa sitakuwa nakutagi mahali kama mke wangu hadi pale nitakapo ona mipango yangu inaenda sawa.

Ni mimi Kijana Masikini nakupenda sana Marry ila sina namna naweza kukumiliki. Ilove you 😪😪😪
 
kijana maskini
FB_IMG_1751405581673.jpg
 
Kijana maskini, sasa unaweza kukopa hadi Tsh 600. Endelea kutumia huduma ya Nipige Tafu na kulipa kwa wakati ili kufaidika zaidi! Piga *149*01*99# sasa.
 
Back
Top Bottom