Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 492
- 925
Na Mimi atokee basi mtoto mmoja kama marry
Tutajuaje ya pm bwashee 😅😄😄Ipi imeisha bro na sikuijua?
Hapana ila kama sio jambo zuri nadhani ni muda wa jf kuweka majukwaa tofauti ambayo new post zitatokea, kwa mfano new post za Jukwaa la mahusiano na chitchat zitokeze sehemu fulani, vile vile kwa majukwaa mengine. Kwa sababu ukiachana na penzi letu kuna post nyingi tu ambazo haziendani maudhui lakini zote zinatokeza sehemu moja.Lakini wengi tunasoma yote kwenye new post ndo kweli unataka wakuu QA vyombo vya usalama wasome ulivyo obsessed na mwanamke
Kutoka wapi mkuu!Naona akili imerudi sasa🥵
Rais anahusiana nini na mahusiano yake!?Una habari platform hii anasoma mpaka mheshimiwa Rais wako na viongozi wakuu kweli kabisa uko serious wakutane na Uzi wako huu yaani watanzania wote tutumie muda wetu kulisoma Penzi lenu maendeleo yake
😲😲 Duh ! ndo natoka kuchukua suti yangu kwa fundi sasa hivi, nikijua ndoa wiki ijayo, 😞Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia.
Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa.
Niseme tu sifurahii kukuweka kwenye hii jela ya kifikira, kuwa huru. kwa sasa sitakuwa nakutagi mahali kama mke wangu hadi pale nitakapo ona mipango yangu inaenda sawa.
Ni mimi Kijana Masikini nakupenda sana Marry ila sina namna naweza kukumiliki. Ilove you 😪😪😪
Acha wivuMtaachana tu
Sawa kiongozi nazitafuta kila siku.Kijana masikini unalilia mapenzi, una hela ya kumtunza mwanamke? Hata mwandiko wako umekaa kimasikini kweri kweri hapa unatafuta stress tu.
Tafuta hela itakupunguzia kujieleza sana
Ya PM kuyajua ni ngumu sana mzeeTutajuaje ya pm bwashee 😅
Utanisamehe mkuu.😲😲 Duh ! ndo natoka kuchukua suti yangu kwa fundi sasa hivi, nikijua ndoa wiki ijayo, 😞
Kimya kimyaZipo nyingi tu bro nyingine zinaisha hata haujui😅
Ko na wewe kwa akili yako unataka kila siku watu waposti NO REFORMS na upuuzi mwingine unaoujua wewe? 🥴Una habari platform hii anasoma mpaka mheshimiwa Rais wako na viongozi wakuu kweli kabisa uko serious wakutane na Uzi wako huu yaani watanzania wote tutumie muda wetu kulisoma Penzi lenu maendeleo yake
😅 😅tafuta msaada wa kisaikolojia mkuuNikiona watu wanatesekea mapenzi, huwa napata amani ya moyo sana.. sijui kwa nini 😂💔
Acha tunywe bia tu ya Mungu mengi ya kuku mayai🤣Ya PM kuyajua ni ngumu sana mzee
😂😂 sawa mkuu😅 😅tafuta msaada wa kisaikolojia mkuu