Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa ina manisha nini kwa wasomi wa alama za siri....
Haya mwingine ana endelea ila wengine wana drop on same team maana yake nini? Same code same secret 🙊
Mwisho wa yote mtauwana wangapi na mtabaki wangapi vita ile ile alio iyo ianza mgawa kijiti mmeirithi mwisho wa vita ni namba one to threee is down over ?
Mbona haya mambo hayana hata faida kwenye dunia imestaarabika jamani.
Mnacho gombania nini? Nanani amewapa assured maisha yenu hapa duniani ni ya milele? Taifa hili tulipokea uhuru pasipo kuwwaga dam ndio iwe sisis kwa sisi tunataka mwaga dam oh no mbona ni ujinga huu what is siasa safi nani aliwaambia mliopo madarakani nyie ndio Mungu wa Taifa hili nani aliwaambia msiopo kwenye madaraka ni miungu wa Taifa hili ? Hatujifunzi kwa kenya, Rwanda na Sudan?
Haya watanganyika ni wengi ila wanaona ndani ya Taifa lao haki zao zinabagazwa wakati wenzao wa Zanzibar wanakula mema ya nchi kuanzia ajira na biashara kweli shida ipo wapi haya malalamiko ya chini sio kitu kingine ni kushindwa kwa haki ya usawa kati ya bara na visiwani.
Nilazima Baraza la usalama wa Taifa pamoja na wazee walio wahi shika nyadhifa kubwa za kitaifa wakae kuamua kesho ya Taifa hili nje ya hapo sioni kesho ya Taifa hili itakuwaje nchi hii sio ya familia wala koo kama ni hivyo basi familia Ya Nyerere wapewe uwenyekiti na familia ya Karume 😘