Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya
1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa.
2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa.
Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali.
Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka.
Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana
Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee ๐๐๐๐๐๐
Aunty Kawa na mshepu wa haja ghafla na kuonesha msisistizo katuonesha liiiive ili tusije tukasema ni...
Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki.
Nchi hiyo Pia imekuwa ikisitasita kutangaza rasmi kuutambua ushoga Kama haki baada ya harakati nyingi kushika Kasi Hadi ngazi...
Kwa nini sisi wanaume tukifumania ndio mwisho, labda wapo wanaoendeleza ila mimi nikifumania ndio mwisho wa safari yetu, ila wanauke wanakuwa ving'ang'anizi? Kwa nini?
Ukiona chuchu zako zinakuuma jua kuwa mume wako aรฑavunja amri ya sita almaarufu Anazini na mwanamke mwingine huko aliko.
Hii hutokea pale mtoto wako anayenyonya ameamka na wewe uko mbali kidogo na hutokea pia mume wako anapovunja amri ya sita.
Wakaka nanyi niwape ishara mjue wake zenu kuwa...
Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji.
Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi miwili tangu aliposajiliwa na Al-Hilal ya Saudi Arabia na kupewa Mkataba unaomwezesha kulipwa Pauni...
Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake;
Asec 3 -0 Simba
Waydad 1 - 0 Simba
Simba 1 - 3 Galax
Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo;
Ahly 1 -0 Yanga
Medeama 3 - 1 Yanga
Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii.
Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
Ndivyo ilivyo sayansi ina mtindo wa kuadvansiiiiiiiiiii halafu inarudia vya mwanzo.
Teknolojia pia huwa inaboreshwaaaaaa hadi inarudia vya mwanzo mifano;
Tunaanza kwa kuwa na dawa za asili, baadaye viwanda vinaboresha vinaextract vinaunda sindano na vidonge. Watu wanahamia za kisasa halafu...
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.
Naomba kujua...
Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua.
Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake...
Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho. Naomba kutangaza masilahi (declare interest) kwamba mimi ni mnufaika wa mfuko huu kupitia wazazi wangu...
Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600
Pia soma:
DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
1. Mwaka jana walituambia kwamba uzalishaji wa umeme nchini umefikia 1,872 MW, wa gesi ukiwa 1,350 MW sawa na asilimia 65% na ule wa maji ukiwa 450 MW sawa na asilimia 35%. Umeme wa maji hasa unazalishwa kutoka kwenye mabwawa ya Kidatu (200MW), Kihansi (180MW) na Mtera (70MW). Tuliambiwa...
Wandugu kwema,
Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona.
Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
Wamefaulu kufyatua ngome zilizokuwepo na sasa wanapambana kubomoa ya mwisho ambayo Warusi walikua wamejichimbia.
Ukrainian armoured vehicles are already operating beyond the last line of Russian defensive fortifications, which Ukrainian forces are currently breaking through in the west of...