Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia.
Hii ni kutokana na sababu kadhaa
Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza!
Pili , watu wengi wameonyesha upendo wa Hali ya juu kwangu! Kwa hivyo, nimekuwa nikipokeaa simu na jumbe nyingi na...