Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
 
Uhai upi kwa mfano. Waache mizaha
 
yuko tayari kutoa uhai wake kumlinda mama mkwe na si nchi
 
Ndio rais ujue! Ukiona kobe juu ya mti au watoto wa simba ujue mwenye watoto yupo around anatoa mamlaka ya kutukana kila mpita njia!
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
Hana udhubutu huo, hana. hawa ndio wale mkienda frontline anabaki nyuma
Until amekuwa tested in frontlines ,in a resl chaos, hana haki ya kuzungumza akiwa kwenye vx
 
Kulinda AMANI au MASLAHI? Hawa jamaa wanatuona watanzania wote wajinga sana, yaani wakiguswa wanakimbilia kwenye neno AMANI, its as if CCM ndio pekee wanaishi amani, wengine ni wavunja amani..fvck 'em!!
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.

Hivi ni amani gani hasa ambayo anaizungumzia Mtu huyo?
Watu siku hizi wamekuwa wakitekwa, kuteswa, Kubambikiwa kesi mbaya mbaya, watu kupotezwa, kubakwa, na kulawitiwa wakiwa mikononi mwa Watekaji, kumwagiwa tindikali, n.k. Je, hiyo ndio amani ambayo anaizungumzia yeye???
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.

Afadhali angesema kuwa yupo tayari kutoa uhai wa Watanzania, kama alivgofanya kwa Mdude, ili kumlinda mamamkwe, angeleweka.
 
Back
Top Bottom