Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
Huyu ni mnufaika
 
MIlio itasikika sana lengo ni kuteteana aikubaliki amani tunaipenda wote lakini upendeleo, dhulma,uonevu,kutekana na kuuana ni mambo yasiyo faa hata kidogo kwaiyo ndio maana tunahitaji mabadiliko Kwa gharama yoyote.
 
Mjibu Gwaji boy kwanza ana hoja iliyoshiba na wanachi wameipokwa kwa shangwe na nderemo.
 
Nchi=mama mkwe
Amani=ugali
Uhai=ufahamu
"Niko tayari kujitoa ufahamu na kumwaga boko ili kulinda ugali wa mama mkwe wangu."
Rejea uchaguzi serikali za mtaa 2024
 
Ameumba kifo Kwa mdomo wake!!

Hope the state wamemsikia!amani ilishakuwepo kabla ya ye kuwa waziri na mkwe wake kuwa namba moja!!

RIP in advance umekiita mwenyewe comrade!kifo hakiitwi hivyo mkuu!!
 
Kulinda AMANI au MASLAHI? Hawa jamaa wanatuona watanzania wote wajinga sana, yaani wakiguswa wanakimbilia kwenye neno AMANI, its as if CCM ndio pekee wanaishi amani, wengine ni wavunja amani..fvck 'em!!
ndivyo walivyo wakipigwa tu kunako wanakimbilia amani, Kuna amani Gani kama watu wanatekwa, kuumizwa na kuuawa, nchi imejaa upendeleo na uonevu tu.
 
Anaongea kama nani? Waziri wa ulinzi ? Mambo ya ndani? IGP? au CDF?

Alafu anaongelea amani ipi? Hii ya watu kutekwa na kuuwawa huku wenye mamlaka wakikaa kimya kama vile walioliwa ni mifugo?

Kama anaongelea amani tunayoijua wote humu basi kazi imeshamshinda na angekuwa Korea kaskizin washamfukia chini kitambo
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.

Asitudanganye hapa. Atayoa Uhai wake kwa kumpigania Mkwe. Period.
 
Amani ya nchi inalindwa na wananchi wenyewe amani ya Nchi haiwezi Lindwa na Mitutu ya Bunduki
 
Huyu kwa povu linalomtoka, nahisi ana mkono kwenye haya mambo!
 
😁😁😁, sasa mkuu sebule ya mheshimiwa imekujaje hapa?

Ingawa kuna ukweli, wahenga wanasema penye miti mingi hapana wajenzi.
Sebule imejaa mimilioni lakini haivutii inazidiwa na sebule ya mama Tariki.
Wao si ndiyo walituonyesha makochi yao na meza za dhahabu feki.
 
Kuuutoa Uhai Gani!?

Hivi wanajua maana ya maneno hayo ama wanaongea tu Kinafiki...!?
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
Hawa watu wamepoteza mwelekeo kweli kweli. Hivi familia ya Mdude, Soka na Kipanya wana amani gani? Hivi mamilioni ya watu wanaokufa kwa sababu ya kukosa dawa kwa sababu ya kina Mcherengwa na Makonda kuiba fedha wana amani gani? Asema yuko tayari kulinda wizi wa mama mkwe wake na siyo amani ya nchi anayoiharibu yeye. Huyu ni mmoja ya wanaotuma watu kuteka na wakati wake utafika.
 
yuko tayari kutoa uhai wake kumlinda mama mkwe na si nchi
Yawezekana mama mkwe hana amani. Hana furaha. Lazima apambane kumrejeshea mama mkwe amani. Ila kwa nchi hii ilipofikia sasa hana namna yeyote ya kuweza kumfurahisha mama mkwe. Haya yaliyojaa mitandaoni ni silaha tosha ya kumuumiza yeye kwa ushalilishaji wa mama mkwe.
 
Back
Top Bottom