Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
Huyu ndiyo Architect wa utekaji wote na uuaji awamu ya sita. Hatajali mtu yoyote, kajibu maswali yote. Mdude, Katima etc etc Huyu anahusika
 
Hii amani amani amani inayotolewa matamko na mawaziri ni amani ipi ilihali wananchi wanauwawa, wapo kinya wanatekwa wapo wamenyamaza, wanapotezwa wametulia tuliiii, wanateswa hawasemi kitu, zaidi zaidi ni kusema waliopotea wameenda kujitafuta baadae wakiokotwa bahari na maporini wameuwawa na kutobolewa macho wanasema kifo ni kifo. Amani yao ni kutafuna mema ya nchi bila kusemwa au amani wanayoizungumzia ni ipi?
 
Nami nipo tayari kuutoa uhai wangu kama ndio hivyo
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
Kuwa tayari kuutoa wako je vipi usio wako?Ama ndiyo ile habari yamto kagera?
 
Analinda ugali wake, kuna viwanda wanashare na mtoto wa aliyeishi Magomeni karibu na Msikiti. Huko kwa Wazaramo/ Wakwere wana maekari ya ardhi.

Utaacha kupigania mpaka tone lako la mwisho la damu? Waache kujifanya wanaitetea Tanganyika, waseme msituharibie mboga zetu, ugali tutalia na nini?
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
Waziri Wa kwanza wa TAMISEMI kuongelea mambo ya ulinzi wa nchi 😂😂
 
Mkwe huyo
 
Aseme kulinda maslai yake asiongope eti maslai ya nchi.watu wanatekwa na kupotezwa mbona hatumuoni kukemea hadharani?

Labda wanaotekwa sio familia yake. Wenzetu wakisema neno "nchi" ukute wanamaanisha His/her/their own family!
 
Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe.

Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari.

Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi. Sijawahi kuona mwingine!

Anaongea hivyo kwa kivuli cha wakuu wa wilaya na mikoa akisema wapo chini yake. Sawa lakini kuna wizara mahususi. Yeye ajikite kwenye ishu za miundombinu ambapo ndiyo kazi mama ya hiyo wizara.

Kutwa ni mambo ya amani amani amani...Au ndo kuteteana? Huyu waziri ana dhambi kubwa za ubaguzi kwa watu wa bara kwenye vyeo. Hapo tunamhifadhi.

Ndugu watatoa kila aina ya mlio safari hii.
Anaweza linda posho zake tu, si amani!
 
Back
Top Bottom