Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.
Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo...