Huyu huyu Raila Odinga aliyekuwa darling wa Mzungu alikuwa kila kukicha yuko Ulaya au USA kuchongea wenzake, Raila Odinga aliyepeleka wenzake The Hague leo hii Mzungu kamgeuka na kapigwa ban kukanyaga Ulaya na USA?
Kweli Jew hana rafiki, ipo siku hata hapa kitabadilika tu, ni swala la muda kama...