nafuu

  1. NetMaster

    Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

    Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
  2. LUS0MYA

    Canal+ inapigwa vita kwa sababu inaonesha ligi kuu ya Uingereza kwa bei nafuu

    Tayari kuna tangazo la TCRA kuashiria kuanza kwa mileage dhidi ya matumizi ya decoder ya CANAL+ Nchini tanzania na hiyo ni kwa sababu inaleta ushindani kwa dstv. Badala ya kufikiria kuipiga marufuku decoder hiyo iwape utaratibu wa kufanya ili nayo ilete changamoto chanya kwa wapenzi wa soka...
  3. Jacky collection

    Pata pochi, mabegi ya shule na safari begi kwa bei nafuu

    Hello wadau karibuni hapa ni mabegi na pochi kali kwa bei nafuu. Pochi 15000 mabegi ya shule 20000, safari begi 30000 karibuni Sana. Namba zangu za simu 0692436124, napatikana Moshi mjini mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  4. C

    Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Heshima kwenu! Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri. Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
  5. Shujaa Mwendazake

    UTURUKI inataka gesi ya bei nafuu ya Kirusi - Bloomberg

    Punguzo hilo linaweza kusaidia Ankara kuzuia kupanda kwa bei ya nishati, 'The outlet reports' Ankara inatafuta kupunguzwa kwa bei kwa zaidi ya 25% ya gesi asilia ya Urusi, Bloomberg iliripoti Alhamisi, ikitoa mfano wa maafisa wakuu wa Uturuki. Suala hilo linaripotiwa kujadiliwa siku ya Ijumaa...
  6. kavulata

    Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  7. Masokotz

    Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Habari za wakati huu; Tuwasiliane kwa wale ambao wanahitaji kununua mashamba na viwanja katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.Maeneo tunayouza ni yaliyopimwa na ambayo hayajapimwa.Maeneo yako katika makundi yafuatayo: Maeneo yanayofaa kwa ajili shughuli za kilimo Maeneo yanayofaa kwa ajili...
  8. Mukulu wa Bakulu

    Ufafanuzi: Nafuu ya kodi unapoagiza/kununua gari za Afrika Kusini

    Habari wakuu. Naomba kutoa angalizo ama ufafanuzi kidogo kuhusu nafuu ya kodi pale utakapoagiza gari zilizotengwa South Afrika. Nimeona mijadala mingi humu watu wakisema kuna unafuu mkubwa wa kodi ukiagiza gari South Afrika kuliko Japan. Hilo jambo linaweza kua sahihi ama linaweza kua na...
  9. Ramoth Gilead Appliances

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    We tuambie budget yako ni shilling ngapi na unahitaji home appliances ipi tuko kwa ajili yako Kwalioko dar es salaam unaletewa mzigo ndo unalipa na mikoani unatuma fedha ndo tunakutumia mzigo. Mawasiliano ya cargo tunazotumiaga wapigie watakuelekeza ofisi zao zilipo kwenye mkoa husika, na bei...
  10. BARD AI

    Nafuu Tena, Mafuta yashuka bei Nov 2, 2022

    Ahueni za bei ya mafuta imezidi kuonekana kwa miezi mitatu mfululizo huku hali hii ikiakisi kushuka kwa bei za soko la mafuta la dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) leo Jumanne Novemba 1, 2022 imeonyesha kuwa kuanzia kesho...
  11. JituMirabaMinne

    INAUZWA Solution ya bei nafuu kwa walioibiwa masega kwenye magari.

    Mara nyingi gari ikiibiwa masega, 1. Itawasha check engine 2. Inaweza kukosa nguvu. 3. Inaweza kumisfire(misi). 4. Itatumia mafuta vibaya sana. Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza kukutana nazo iwapo gari itaibiwa masega. Au masega ya gari yako yatakuwa yamechoka. Shida kubwa hapo...
  12. Samedi Amba

    Natafuta Bulk SMS Provider ambaye ana bei nafuu

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi. Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13...
  13. wanzagitalewa

    Rais Samia anaifanya elimu kuwa bora na nafuu

    Lengo namba nne la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ni kuhakikisha watu wote wanapata elimu bora, yenye usawa na kutoa fursa kwa wote kujiendeleza na kufikia vipawa vyao kikamilifu. Ili kufikia lengo hilo, mamlaka zinatakiwa kutoa fursa sana kwa wavulana na wasichana, kuongeza idadi...
  14. dennoo_appliances

    Computer4Sale Nauza home appliances (tv, refrigerator, music system na air conditioner)

    Karibuni
  15. D Metakelfin

    Msaada: Shule nzuri ya sekondari yenye bweni, ada nafuu Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM. Mtoto ni wa kiume Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi. Ahsante
  16. Gadget_accessories_tz

    Tunauza phones, computers, accessories na home appliances kwa bei nafuu

    .
  17. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  18. Mwabhleja

    SoC02 Elimu yetu na hatima ya vibarua nafuu wenye vyeti

    Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani elimu ni gharama, basi jaribu ujinga". Miaka mingi baada ya uneni huu lakini bado hakuna hatua za...
  19. Gadget_accessories_tz

    INAUZWA Nauza earpods na charges kwa bei nafuu

    Nauza earpods, wireless headphones, charges, fast chargers, and all others phones accessories karibuni Sh 30,000/= Buds pods Elfu 55,000/= Iphone sh 55,000/= Sh 55,000/= iphone 13pro max sh 40,000/= True wireless earbuds elfu 45,000/= Airpods pro sh 70,000/= Elfu 40,000/= Samsung S10 sh...
  20. sky soldier

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
Back
Top Bottom